Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wivu, hata akitolewa hupewi wewe...Matola anapaswa kutoka hapo ,why yeye haguswi? Na angekua Bora Basi Simba ingekuwa mbali Sana ,haiwezekan makocha kila Leo wanafukuzwa yeye anabaki kuwa msaidizi tu .
Mashabiki mshaanza kutupa wasiwasi juu ya huyu matola ,au ndio mganga wa timu maana hajawah guswa kaabisa.
Kama makocha wakuu wanaguswa why yeye haguswi?
Umezunguka sanaMatola yupo pale kistratejia kama shushushu wa Rais wa heshima Mo ktk suala ya ufundishaji wa timu, kama ambavyo CEO wetu barbara yupo kwa niaba ya MO kwenye utendaji wa klabu. Hakuna mwekezaji/tajiri mjinga yaani awekeze pesa halafu kusiwe na watu (wapambe) wa kulinda maslahi yake. Hata akitolewa bado Mo atamtafuta mzawa mwingine mwenye uchungu na simba akae pale ili aripoti kila mpango unaoendelea.
Unayosema no sahihi lakini ceo was simba anawajibika kwa sababu amejitikwa majukumu yasiyo yake kama kusajili wachezaji, kuajil kocha majukumu yaliyopaswa kufanya na mkurugenzi wa ufundi kama watubwanamwambia aajiliwe mkurugenzi wa ufundi na yeye anaona si sawa basi awajibike kwa matokeo mabovuiMpira haupo hivyo...CEO wa timu ni tofauti na CEO wa mashirika ya uma au ya kiserikali. Timu huwa zina utendaji mpana , timu inapofanya vibaya watu wanaokuwa accountable ni kocha na benchi lake la ufundi na pia mkurugenzi wa ufundi wa timu (technical director), CEO na board members wao wanashughulikia mambo ya kuiongoza timu kama taasisi ila masuala ya matokeo ya uwanjani huwa hawawajibiki. Wao kazi yao ni kufanyia kazi mapendekezo ya kocha ktk usajili, kushughulikia masuala ya kiuchumi ya timu n.k...wakishatimiza mahitaji ya kocha ,jukumu la timu kupata matokeo ni la kocha na benchi lake la ufundi.