Wana Simba tuko nyuma yako Mo Dewji, tunaunga mkono maamuzi yoyote magumu ndani ya bodi

Acha wivu, hata akitolewa hupewi wewe...
 
Umezunguka sana
Kiufupi ni chawa huyu
 
Unayosema no sahihi lakini ceo was simba anawajibika kwa sababu amejitikwa majukumu yasiyo yake kama kusajili wachezaji, kuajil kocha majukumu yaliyopaswa kufanya na mkurugenzi wa ufundi kama watubwanamwambia aajiliwe mkurugenzi wa ufundi na yeye anaona si sawa basi awajibike kwa matokeo mabovui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…