Wana-Simba tuna imani kubwa na kocha, tunaomba aendelea kuwepo Msimbazi

Kocha anapimwa kwa matokeo yake kuendelea au kutoendelea kunategemea performance ya timu.
Kocha are hired to be fired
 
Mbona mapema sana umeletwa uzi wa namna hii? Kuna nini kimetokea? Maana timu imecheza michezo miwili ya ligi na imeshinda kwa kishindo.
 
Mungu baba Ibariki SIMBA.. Sisi SIMBA huwa hatufanyi makafara ya damu na kuwalisha wanachama nyama zilizofanyiwa uganga na ulozi
Kinyumenyume hadi mechi za kirafiki, alafu kule South Africa mlikuwa mnafanya nini kwenye uwanja wa kaizer hadi mkalipishwa dola elf 10?
 
Kocha anajielewa mfano ni mechi ya leo hichi ndio kipimo halisi cha Mechi za Kimataifa zinazokuja Kwa Simba sio kina Kagera sugar.
 
Kocha anajielewa mfano ni mechi ya leo hichi ndio kipimo halisi cha Mechi za Kimataifa zinazokuja Kwa Simba sio kina Kagera sugar.
Kagera sugar au tabora united na fountain gate, uzuri mechi za kimataifa akuna kuzuia wachezaji kucheza, mtapigika mpaka akili iwakae sawa
 
Mungu baba Ibariki SIMBA.. Sisi SIMBA huwa hatufanyi makafara ya damu na kuwalisha wanachama nyama zilizofanyiwa uga
Kinyumenyume hadi mechi za kirafiki, alafu kule South Africa mlikuwa mnafanya nini kwenye uwanja wa kaizer hadi mkalipishwa dola elf 10?
Hapa nimezungumzia supu na damu ya kafara vitu ambavyo ni halisi na sio mambo ya kufikirika na kubahatisha
 
Kabisa na huo ndio....###UZALENDO WA KITANZANIA###
 
Ngoja kwanza tukutane tukupigeni 5 ndio tutaona kama kweli huyo kocha mnamuamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…