Wana-Simba tuna imani kubwa na kocha, tunaomba aendelea kuwepo Msimbazi

Wana-Simba tuna imani kubwa na kocha, tunaomba aendelea kuwepo Msimbazi

Kwakuwa umebahatisha sareee auuu?
Sare ya wachezaji kumi tu, Al Hilal wangebaki 11 ingekuwa balaa.

Halafu hawa marefa mechi za Simba kuna kitu cha kuchunguza yaani Simba ikicheza huwa naboreka sana, marefa huwa hawakubali mbumbumbu FC kufungwa. Wasipotoa penati, watatoa goli la offside, wakishindwa hapo watamtoa nje mchezaji wa timu pinzani kwa red card, napo wakishindwa wataipa Simba faulo nyingi na kuzuia safari za timu pinzani bila aibu au watakataa magoli wanayofungwa Simba. Binafsi naamini kuna kitu nyuma ya pazia, labda ni maagizo ya Karai. Arajiga pekee ndie refa huchezesha mechi za Simba haki bin haki na matokeo huwa tunaona mbumbumbu FC wanakandwa. Hiyo VAR ianze haraka Simba mdebwedo jumba bovu liachwe lianguke!!

Simba guvu moyaaa, muunganiko wa Fadlu bado uko njiani unakaribia kile kibao "Sasa unaingia mkoa wa Dasilamuuu"!!
 
Back
Top Bottom