Wana Simba wenzangu mbona mmeacha kuimba wimbo wa kumsifia Kocha Mgunda? Tafadhali tuendelee

Wana Simba wenzangu mbona mmeacha kuimba wimbo wa kumsifia Kocha Mgunda? Tafadhali tuendelee

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
mgunda.jpg

Wana Simba SC Wenzangu vipi tena mbona baada ya 'Droo' ya Kagera jana ule Wimbo wa Kumsifia Kocha Mgunda siusikii tena? Tafadhali tendelee Kuuimba Ok?

Yaani Viongozi wa Simba SC nawakubali kwani wanajua sana Kucheza na Akili zetu, Kutupoza na Kutuhamisha Fikra zetu.
 
Kwa hiyo akishinda mechi mzuri akidroo au kufungwa hafai? Only in bongo land 😃😀😄
 
Wana Simba SC Wenzangu vipi tena mbona baada ya 'Droo' ya Kagera jana ule Wimbo wa Kumsifia Kocha Mgunda siusikii tena? Tafadhali tendelee Kuuimba Ok?

Yaani Viongozi wa Simba SC nawakubali kwani wanajua sana Kucheza na Akili zetu, Kutupoza na Kutuhamisha Fikra zetu.
Unawapa shida Sana ndugu zako Kwa ukweli wako. Kama kuna mashabiki wwpesi kuridhika nchi hii wa Simba ni namba Uno.
 
Na tff ya karia ilimteua kocha msaidizi wa t.stars ya kwenda kombe la dunia , kweli tff wapo serious au na wao wanacheza na akili za watanzania ?

Wanaona aibu gani tff kumwazima gamondi hivi ameshachukua kombe yupo free ?
 
Back
Top Bottom