Wana Simba wenzangu mbona mmeacha kuimba wimbo wa kumsifia Kocha Mgunda? Tafadhali tuendelee

Wana Simba wenzangu mbona mmeacha kuimba wimbo wa kumsifia Kocha Mgunda? Tafadhali tuendelee

Kikubwa kukata mzizi mkuu wa shida ambao ni kuanzia Uongozi mpka mwekezaji
Kama kuna Mtu ambaye nitafurahi nikisikia Kaondoka Simba SC ni Mwekezaji Mwongo Mwongo ( Samjo Samjo ) Mo Dewji.
 
Jaribuni tena mwakani kwa sasa wananchi ndiyo mabingwa!
Wenye Akili hili tulilujua mapema tu. Kwa ushahidi utafute Uzi wangu wa mwaka Jana msimu ulipoanza katika zile Mechi za mwanzo nilisema hapa hapa JamiiForums kuwa Yanga SC anaenda kuwa Bingwa tena kwa huu Msimu mwingine kutokana na Jicho langu Tukuka la Kiufundi lilivyoona.
 
Back
Top Bottom