GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na wanawapatia kweli, mkushasahau wanawaletea magarasa mengineYaani Viongozi wa Simba SC nawakubali kwani wanajua sana Kucheza na Akili zetu, Kutupoza na Kutuhamisha Fikra zetu.
Zimegoma au Uongozi wa Kagera Sugar FC uliwanyang'anya Simu Wachezaji ili Airtel Money isipate Nafasi kama kwa wengine?Hesabu kaka zimegoma!
Na ndiyo maana nawaambiwa wana Simba SC Wenzangu kuwa tukiitwa Mbumbumbu ( Mijuha ) na Yanga SC tusikasirike.😁😅😂😂sasa hivi wanalalamika hawamtaki gadiola mnene
😁😁😅😅😂Na ndiyo maana nawaambiwa wana Simba SC Wenzangu kuwa tukiitwa Mbumbumbu ( Mijuha ) na Yanga SC tusikasirike.
Huna Akili.Kwa hiyo akishinda mechi mzuri akidroo au kufungwa hafai? Only in bongo land 😃😀😄
Juha tu weweHuna Akili.
we jamaa unajiona IQ kubwa sana .unasubiri nini kuiongoza simba wakati una bwabwaja hapa JFHuna Akili.
Siyo najiona bali nina AKILI kweli kweli hadi najishangaa na nashangaa kwanini nawe huna au hukubarikiwa nazo na Mungu.we jamaa unajiona IQ kubwa sana .unasubiri nini kuiongoza simba wakati una bwabwaja hapa JF
Unawapa shida Sana ndugu zako Kwa ukweli wako. Kama kuna mashabiki wwpesi kuridhika nchi hii wa Simba ni namba Uno.
Wana Simba SC Wenzangu vipi tena mbona baada ya 'Droo' ya Kagera jana ule Wimbo wa Kumsifia Kocha Mgunda siusikii tena? Tafadhali tendelee Kuuimba Ok?
Yaani Viongozi wa Simba SC nawakubali kwani wanajua sana Kucheza na Akili zetu, Kutupoza na Kutuhamisha Fikra zetu.
Huna baya pure talented charismatic fella yaani hutaki unafikiNa ndiyo maana nawaambiwa wana Simba SC Wenzangu kuwa tukiitwa Mbumbumbu ( Mijuha ) na Yanga SC tusikasirike.