Wenye Akili hili tulilujua mapema tu. Kwa ushahidi utafute Uzi wangu wa mwaka Jana msimu ulipoanza katika zile Mechi za mwanzo nilisema hapa hapa JamiiForums kuwa Yanga SC anaenda kuwa Bingwa tena kwa huu Msimu mwingine kutokana na Jicho langu Tukuka la Kiufundi lilivyoona.