Wana Simba wenzangu zoezi la kuchangia uwanja Kama limekufa hivi

Nyuma ya michango Simba inamipango mikubwa sana ya kufanikisha hili jambo.
 
Swala la kujenga uwanja kwa staili kama ile halitafanikiwa..lipo kishabiki na sio kitaalam.
 
Ukweli mchungu ila mashabiki wa Simba na Yanga mchango wao ni kwenda uwanjani kuangalia mpira basi,mengine hawana mpango nayo.

Misimu miwili mlianzisha kadi kama za Yanga, huku mkishirikiana na DTB bank, gharama ilikuwa 19000 na kila mwaka mwanachama alipie 14000 sijui zoezi liliishia wapi. Hili la uwanja labda MO na baba yake wajikamue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…