mgombea uvccm2017
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 505
- 376
- Thread starter
- #21
Mura nyansincha kuya nyantira ntabhebhe haiAmang'ana murah? Mbna umetusahau wa nyasincha, sirari border
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mura nyansincha kuya nyantira ntabhebhe haiAmang'ana murah? Mbna umetusahau wa nyasincha, sirari border
Na wala hakina mvuto najihisi kama tayari nina jereha nimekatwa pangaKama haujui kikurya humu hatukuhitaji
Mkuu, hakuna vijiji vyenye hayo majina, kama ulihitaji watu kutoka vijiji husika. Hii inaonyesha wewe sio mzaliwa wa eneo hilo bali ulikaa kwa muda au unalisikia tu. Omba ushauri zaidi.Naomba uzi huu uwe special kwa wakurya wa Tarime pekee
Gamasara,Kemange,Buhemba,Tagota,Magen,Kibumaye,Sirari,(Bwirege,Nyamongo,) Nyamwaga,Kiribo,Mgoto,Nkongore,Nyamwigura,Kebweye,Kubhitocho na sehemu nyinginezo
Mura,mwiseke,mukungu na moghaka tusikane hano tuhite weito na amang'an ghaito
Nimepamis sana home!
Hapana, sio kweli. Unaweza kuwa Mkurya wa Tarime lakini kikurya hukifahamu, ila waache wanaoweza kukiongea wakutane hapo, huenda wanataka kuanzisha Umoja wao.Kwani kigezo cha kuwa mkurya wa tarime ni kuandika kikurya tu?
Mnaongea lugha ya makabila, karne ya 21 mnaongea lugha ya makabila, nataka kutambika? J.k NyerereKama haujui kikurya humu hatukuhitaji
Labda niombe ushauri kwa mamako nayamatoro...nibhoywe na ghokenera mbaleyo soki nankohamanya? Tayaolebwe amatoroMkuu, hakuna vijiji vyenye hayo majina, kama ulihitaji watu kutoka vijiji husika. Hii inaonyesha wewe sio mzaliwa wa eneo hilo bali ulikaa kwa muda au unalisikia tu. Omba ushauri zaidi.
Hee, mbona matusi tena. Au kwa kuwa Jf tunaingia kwa ID fake, waweza kuta ni ndugu yako. Mimi nilithani umeanzisha huu uzi kwa nia njema kuwakutanisha ndugu zako ili siku nyingine mfikie kuonana uso kwa uso. Nami kwa kuwa nimeona baadhi ya vijiji umekosea majina, nikaona nikushauri uombe ushauri zaidi kuhusu majina ya vijiji na maeneo husika. Kwa mfano hakuna kijiji kinaitwa Nyamongo bali hilo ni eneo lenye vijiji vya Murwambe, Kewanja, Nyangoto, Matongo, Kemambo na Kerende. Umetaja Bwirege lakini bado ukataja Nyamwaga ilihali Bwirege ni mkusanyiko wa vijiji vya Nyamwagaa, Keisangora, Komerama, Kimusi, Muriba, Nyantira, Nyansicha, Kumwika, Itiryo, Genkuru n.k yaani hata 50 vinafika. Ulichoita Mgoto sio bali Magoto. Sasa kuwa kuwa nimeona upungufu katika ujumbe wako, nikaona tuuweke sawa ili uwapate watu husika. ..............kumbuka nimeandika hivi:.......Mkuu, hakuna vijiji vyenye hayo majina, kama ulihitaji watu kutoka vijiji husika. Hii inaonyesha wewe sio mzaliwa wa eneo hilo bali ulikaa kwa muda au unalisikia tu. Omba ushauri zaidi. .......kulikuwa na sababu gani ya kumwaga mitusi kiasi hicho.Labda niombe ushauri kwa mamako nayamatoro...nibhoywe na ghokenera mbaleyo soki nankohamanya? Tayaolebwe amatoro
Labda niombe ushauri kwa mamako nayamatoro...nibhoywe na ghokenera mbaleyo soki nankohamanya? Tayaolebwe amatoro
Hee, mbona matusi tena. Au kwa kuwa Jf tunaingia kwa ID fake, waweza kuta ni ndugu yako. Mimi nilithani umeanzisha huu uzi kwa nia njema kuwakutanisha ndugu zako ili siku nyingine mfikie kuonana uso kwa uso. Nami kwa kuwa nimeona baadhi ya vijiji umekosea majina, nikaona nikushauri uombe ushauri zaidi kuhusu majina ya vijiji na maeneo husika. Kwa mfano hakuna kijiji kinaitwa Nyamongo bali hilo ni eneo lenye vijiji vya Murwambe, Kewanja, Nyangoto, Matongo, Kemambo na Kerende. Umetaja Bwirege lakini bado ukataja Nyamwaga ilihali Bwirege ni mkusanyiko wa vijiji vya Nyamwagaa, Keisangora, Komerama, Kimusi, Muriba, Nyantira, Nyansicha, Kumwika, Itiryo, Genkuru n.k yaani hata 50 vinafika. Ulichoita Mgoto sio bali Magoto. Sasa kuwa kuwa nimeona upungufu katika ujumbe wako, nikaona tuuweke sawa ili uwapate watu husika. ..............kumbuka nimeandika hivi:.......Mkuu, hakuna vijiji vyenye hayo majina, kama ulihitaji watu kutoka vijiji husika. Hii inaonyesha wewe sio mzaliwa wa eneo hilo bali ulikaa kwa muda au unalisikia tu. Omba ushauri zaidi. .......kulikuwa na sababu gani ya kumwaga mitusi kiasi hicho.
ID yake inaakisi akili zake, alivyoleta hoja za wanatarime akasema wanaoongea kikurya tuu nilimshusha sana. Kuna wakurya wengi tu humu lakini hawawezi kuongea kikurya au lengo lake ni kuongeza ujuzi wake kwenye lugha hiyo?Watu kama wewe ndo wanasababisha wakurya tuonekane wagomvi na watu wasio na maana.
Toto hujapasahau?WAPI VIJANA WA MUCHI INCHAGE MILK, SISI KWA SISI CAFE, JJ CLUB, WATOTO WAZURI WA RONSOTI, VIJANA WA TUITION TURWA , WAPI VIJANA WA ROMORI, WAPI WANASOKA WETU WA TARIME UNITED , WAPI MOSATI GHESAKA,
NIMEKUMBUKA NDIZI ZA STENDI PALE, MFUGAJI BAR, BILA KUSAHAU NYAMA ZA MARURA
NIMEKUMISS TARIME
Utakuwa mpuuzi ukiwa mkurya then huwez kuongea kikurya! Limbukeni wa hivyo simhitaji kwenye uziID yake inaakisi akili zake, alivyoleta hoja za wanatarime akasema wanaoongea kikurya tuu nilimshusha sana. Kuna wakurya wengi tu humu lakini hawawezi kuongea kikurya au lengo lake ni kuongeza ujuzi wake kwenye lugha hiyo?
Yes tumezika jana jamani...Nimesikitika nimesikia Mzee Gemeno aliyekuwa hakimu mwanzo Tarime amefariki aisee. Nimesikitika Sana bamure
Yes tumezika jana jamani...
Naomba uzi huu uwe special kwa wakurya wa Tarime pekee
Gamasara,Kemange,Buhemba,Tagota,Magen,Kibumaye,Sirari,Bwirege,Nyamongo,Nyamwaga,Kiribo,Mgoto,Nkongore,Nyamwigura,Kebweye,Kubhitocho na sehemu nyinginezo
Mura,mwiseke,mukungu na moghaka tusikane hano tuhite weito na amang'an ghaito
Nimepamis sana home!