Wana Tarime wote tukutane hapa

Mkuu, hakuna vijiji vyenye hayo majina, kama ulihitaji watu kutoka vijiji husika. Hii inaonyesha wewe sio mzaliwa wa eneo hilo bali ulikaa kwa muda au unalisikia tu. Omba ushauri zaidi.
 
Kwani kigezo cha kuwa mkurya wa tarime ni kuandika kikurya tu?
Hapana, sio kweli. Unaweza kuwa Mkurya wa Tarime lakini kikurya hukifahamu, ila waache wanaoweza kukiongea wakutane hapo, huenda wanataka kuanzisha Umoja wao.
 
Mkuu, hakuna vijiji vyenye hayo majina, kama ulihitaji watu kutoka vijiji husika. Hii inaonyesha wewe sio mzaliwa wa eneo hilo bali ulikaa kwa muda au unalisikia tu. Omba ushauri zaidi.
Labda niombe ushauri kwa mamako nayamatoro...nibhoywe na ghokenera mbaleyo soki nankohamanya? Tayaolebwe amatoro
 
Labda niombe ushauri kwa mamako nayamatoro...nibhoywe na ghokenera mbaleyo soki nankohamanya? Tayaolebwe amatoro
Hee, mbona matusi tena. Au kwa kuwa Jf tunaingia kwa ID fake, waweza kuta ni ndugu yako. Mimi nilithani umeanzisha huu uzi kwa nia njema kuwakutanisha ndugu zako ili siku nyingine mfikie kuonana uso kwa uso. Nami kwa kuwa nimeona baadhi ya vijiji umekosea majina, nikaona nikushauri uombe ushauri zaidi kuhusu majina ya vijiji na maeneo husika. Kwa mfano hakuna kijiji kinaitwa Nyamongo bali hilo ni eneo lenye vijiji vya Murwambe, Kewanja, Nyangoto, Matongo, Kemambo na Kerende. Umetaja Bwirege lakini bado ukataja Nyamwaga ilihali Bwirege ni mkusanyiko wa vijiji vya Nyamwagaa, Keisangora, Komerama, Kimusi, Muriba, Nyantira, Nyansicha, Kumwika, Itiryo, Genkuru n.k yaani hata 50 vinafika. Ulichoita Mgoto sio bali Magoto. Sasa kuwa kuwa nimeona upungufu katika ujumbe wako, nikaona tuuweke sawa ili uwapate watu husika. ..............kumbuka nimeandika hivi:.......Mkuu, hakuna vijiji vyenye hayo majina, kama ulihitaji watu kutoka vijiji husika. Hii inaonyesha wewe sio mzaliwa wa eneo hilo bali ulikaa kwa muda au unalisikia tu. Omba ushauri zaidi. .......kulikuwa na sababu gani ya kumwaga mitusi kiasi hicho.
 

Mkuu huu Uzi hauna maana tena,mwanzisha uzi mwenyewe mgomvi mgomvi tuu...
 
WAPI VIJANA WA MUCHI INCHAGE MILK, SISI KWA SISI CAFE, JJ CLUB, WATOTO WAZURI WA RONSOTI, VIJANA WA TUITION TURWA , WAPI VIJANA WA ROMORI, WAPI WANASOKA WETU WA TARIME UNITED , WAPI MOSATI GHESAKA,

NIMEKUMBUKA NDIZI ZA STENDI PALE, MFUGAJI BAR, BILA KUSAHAU NYAMA ZA MARURA

NIMEKUMISS TARIME
 
Mzee umeeleweka sana bahati mbaya wakurya hatujui kuomba msamaha, na wewe kama mkurya utakuwa unajua wazi kuwa sisi wakurya UGONVI UKO KWENYE DAMU, hayo tuyasahau yameisha tuendelee kushirikiana tena,
na kama utazira hauta kuwa mkurya, Mula tughendeeri,
 
moghaka mimi ni mkuria wa kuzaliwa na kukulia,lakini ugomvi haujawahi kuwa ndani ya damu yangu..na hata siku moja haitakaa itokee nisifie ugomvi.

By the way,mtu anapata faida gani kumtukana mwenzie kama jamaa yetu alivyofanya hapo juu?

Uzi ulivyoanzishwa nilidhani lingekuwa jukwaa zuri kukumbushana maisha ya kwetu na kupeana habari za nyumbani kwetu,ili wengine tulio mbali tupate kujua kinachoendelea nyumbani.

Badala yake limekuwa jukwaa la kutukanana na kujisifia ugomvi..hiyo ni akili kweli?
 
Watu kama wewe ndo wanasababisha wakurya tuonekane wagomvi na watu wasio na maana.
ID yake inaakisi akili zake, alivyoleta hoja za wanatarime akasema wanaoongea kikurya tuu nilimshusha sana. Kuna wakurya wengi tu humu lakini hawawezi kuongea kikurya au lengo lake ni kuongeza ujuzi wake kwenye lugha hiyo?
 
Toto hujapasahau?
 
ID yake inaakisi akili zake, alivyoleta hoja za wanatarime akasema wanaoongea kikurya tuu nilimshusha sana. Kuna wakurya wengi tu humu lakini hawawezi kuongea kikurya au lengo lake ni kuongeza ujuzi wake kwenye lugha hiyo?
Utakuwa mpuuzi ukiwa mkurya then huwez kuongea kikurya! Limbukeni wa hivyo simhitaji kwenye uzi
 
Toeni ukurya wenu hapa. Wakrya elfu moja sawasawa naTundu Lisu mmoja sawa mamuraa. Mkale vimolo. Kamakawa mtani wenu
 

Mnataka mkate watu na mapanga nn??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…