GE2025 Wana TK-Movement waahidi kusimama na Rais Samia uchaguzi mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Wakuu

====
kwani nyie mnasemaje?

Akizungumza na wanachama wa jukwaa la vijana na wanawake nchini ndg. Naseem Makombe Katibu wa vyuo na vyuo vikuu TK-ΜOWEMENT Naseem Makombe amewataka wana TK MOVEMENT kuumunga mkono Mh. Rais Dkt. Samia S. Hassan kutokana na kazi kubwa zinazoendelea kufanyika na Serikali ya awamu ya 6.
Your browser is not able to display this video.

Chanzo:Habari Mpya​
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…