Wana Tupwisa Lindanda - Pamba ya MZA 1990

ELNIN0

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Posts
4,161
Reaction score
1,476
JF

Nitapenda mtu atakayenipa habari zaidi juu ya timu ya Pamba mwanza ambayo kweli ilitisha sana anga za kandanda miaka ya tisini.

ningependa kujua yafuatayo,

a) Hivi yule kocha aliyefundisha ile timu alikuwa mtanzania? nina maana kama ni mtanzania kumbe kweli tunaweza
b) Pili unitajie kikosi kamili nakumbuka wachezaji wachache kama George masatu, Remao Mkani, Madata Lubigisa, Fumo Felician, Beya Simba, George masatu, Hussein Marsha, Halfan Ngassa na John Makelele ( Zig Zaga) kama utanipa position zao uwanjani nitafurahi zaidi

Mimi tangu nizaliwe ni mpenzi wa Simba na napenda Mpira sana, ila kwa sasa siangalii sana mpira wa nchini kwetu manake sipendi kuumiza roho yangu, badala yake nacheki games za ulaya, niliipenda Pamba sana kwani mpaka sasa sidhani kuna timu imefikia kiwango cha hawa jamaa wakati huo - manake kwa sasa tungesema ilikuwa ni Attaching football yaani mpira wa kushambulia ni kama mfumo ya Barcelona wa wale wapenzi wa mipira ya ulaya.

Je kuna Mtu wakati huo aliweka video ya hawa jamaa wakiwa wanacheza game kama ipo basi nitaipataje? na pia tunaweza ipeleka kwenye kituo cha TV ili watuonyeshe watanzania njisi Tupwisa lilivyokuwa linatisha at that time.

Pia kama huyu kocha yupo nitampata vipi aeleze Strategic plan yake (mpango mkakati)aliyotumia kuwakusanya na kuwafundisha hawa jamaa kwa ustadi wa juu kama vile.

Asanteni Wakuu

Alutaaa...
 
Namkumbuka Joram Mwakatika.......... alikuwa ananyoa upara, alicheza namba tano
 
wakati ule Pamba ya Mwanza lilikuwa na jopo la makocha hawa Marehemu Maftah na Mzee Pius Nyamko

1-Poul Rwechungura
2-Rashid Abdallah
3-Abdallah Boli
4-James Washokera
5-George Masatu
6-Mao Mkami (Ball Dance)
7-Beya Simba
8-Hussein Masha
9-Kitwana Suleiman
10-Fumo Felicia
11-Hamza Mponda

1-Nico Bambaga
2-Msonga Rashid
3-Deo Mkuki
4-Madata Lubigisa
 
Lah, umenikumbusha mbali sana mkuu, thankx kwa list yako.
 
Hii timu hata mimi naikumbuka sana na kuipenda sana, hawa jamaa walikuwa wakija Kule Songea wanaondoka na ushindi wa bao moja, Timu mbili tu nakumbuka ndo zilikuwa zikija zinashinda, ni simba na Pamba tuu, kwa mbali na Tukuyu enzi hizo walikuwa nabahatisha droo. nawakumbuka sana hawa Vijana na jezi zao Nyeupe zilikuwa zimeandikwa PAMBA KWA THIODANE. kUna jamaa alikuwa anaitwa Abass hamis Magongo alikuwa na ndugu yake wote walikuwa pamba halafu mmoja akaenda Gor mahia ya kenya nasikia alichukua na uraia kabsaaaa wa kenya
 
jamani hii timu ilikuwa kali kweli kina namkumbuka niko bambaga,Davdi mwakalabela,Husen masha ,George masatu,madata lubigisa wengine nimewasahau,hahaha Pamba timu funga hao simba warudi kwao msimbazi sijui kipindi hicho nakumbuka yule mtangazaji sasa ni marehemu na nimemsahau jina.Kwa kweli imebaki kuwa historia tu
mtangazaji aliitwa DOMINIC CHILAMBO
 
Abdalah Bolisiku hizi anafanyakazi za kuajiliwa kama boilermaker katika kampuni moja binafsi mgodini. Sikujua kamakwelialikuwa mcheaji wa timu hii ingawa aliwahi kunisimulia kwani sikuamini. Kipindi hicho nilikuwa bado mdogo.
 
wakati ule Pamba ya Mwanza lilikuwa na jopo la makocha hawa Marehemu Maftah na Mzee Pius Nyamko

1-Poul Rwechungura
2-Rashid Abdallah
3-Abdallah Boli
4-James Washokera
5-George Masatu
6-Mao Mkami (Ball Dance)
7-Beya Simba
8-Hussein Masha
9-Kitwana Suleiman
10-Fumo Felicia
11-Hamza Mponda

1-Nico Bambaga
2-Msonga Rashid
3-Deo Mkuki
4-Madata Lubigisa

Unajua hapa kuna Pamba mbili.
1. Kuna Pamba ambayo kipa ni Madata Lubigisa, RP, kuna kina Ally Bushiri, Halfan Ngasa baba wa Mrisho, george gole na wengine.
2. Hii sasa ndo Pamba ya mwisho ya kina Juma Amir, Masha, Masatu, Mwakalebela mchezaji na si huyu wa TFF anayefutuka kila kukicha....

Sasa nisubirini cku nikilewa nije niwape full list ya Pamba ya kwanza na ya Pili, enzi hizo Pamba wanaitwa wana kawekamo.
 
Sasa hizi Pamba hapo zote ni mbili za mwisho mwisho..Pamba ya Mwanza Original ya kwanza ilikuwa hivi:
1. Madata Lubigisa/Jumah Mhina
2. Athman Juma Chama
3. Yusuf Ismail Bana
4. Ibrahim Khamis Magongo
5. Joram Mwakatika
6. James Ng'ong'a Jaluo
7. Idd Watchee
8. Antony Nyembo
9. Khalid Bitebo
10.Amri Ibrahim
11. Abuu Jumaa
Huyo Abbas Khamis Magongo hakucheza Pamba ya Mwanza bali alichezea Pamba ya Shinyanga kabla hajaenda Gor mahia-Kenya akiwa na akina
1.Khamis Maftah
2. Khasim Nadhir
3. Hashim liseki
4. Athman Maulid
5. Sululu Mrisho
6. Bakar Kulewa
7. Anatoly Safari
8. Seif -Mhindi, mara ya kwanza kuona mhindi anakipiga.
9. Issa Mohamed
10. Abbas Khamis Magongo
11. Nassib Hussein
walikuwa wakicheza hawa Kambarage hapakaliki.Umenikumbusha mbali.
 
Kuna huyu kipa Rwechungura si alitimukia USA (NYC/NJ?.) hivi bado yupo huko?.
 
Bado yuko huko sasa hivi anabeba mabox badala kudaka mpira.[/QUOTE
mh yote maisha lakini, nina imani box linamlipa zaidi ya hiyo alokuwa anaipata kwa kudaka mpira. By the way sidhani kama angekuwa bado anaupiga kwani umri bana!.
 
Kuna hii iliyomalizikia,ambayo watangazaji walikuwa wakiita dakika tatu,ilikuwa chini ya Pius nyamko(wenyewe tulikuwa tukimuita batalokota).Yeye alikuwa na theory ya kushambulia,hivyo alikuwa akiwaambia wachezaji wake"Jaza lupepo tuu (wafanye sana mazoezi ya kuwa na pumzi uwanjani) batalokota benyewe kunyavu"nafikiri alikuwa raia wa kongo ingawa alifia Mwanza.Nashangaa wachangiaji wamemsahau Nteze John Lungu,jamaa alikuwa anaujua mpira si mchezo.Enzi hizo kutokana na soka zuri walilokuwa wakicheza,hata kama ni Pamba na Lipuli ccm kirumba ilikuwa inafurika watazamaji.

Unajua unanikumbusha mbali sana,enzi hizo pale ccm kirumba kulikuwa na mlinzi bubu alikuwa anaipenda pamba hatari.Yeye alikuwa anasema,"aaa pamba,aapamba waaaaa mmmmm,anakuonyesha vidole vitatu"akimaanisha kuwa Pamba kama mvua itanyesha basi si chini ya bao tatu.
 
Hivi huyu Nteze John yupo wapi kwa sasa na anafanya nini?.
 
Back
Top Bottom