ELNIN0
JF-Expert Member
- Nov 26, 2009
- 4,161
- 1,476
JF
Nitapenda mtu atakayenipa habari zaidi juu ya timu ya Pamba mwanza ambayo kweli ilitisha sana anga za kandanda miaka ya tisini.
ningependa kujua yafuatayo,
a) Hivi yule kocha aliyefundisha ile timu alikuwa mtanzania? nina maana kama ni mtanzania kumbe kweli tunaweza
b) Pili unitajie kikosi kamili nakumbuka wachezaji wachache kama George masatu, Remao Mkani, Madata Lubigisa, Fumo Felician, Beya Simba, George masatu, Hussein Marsha, Halfan Ngassa na John Makelele ( Zig Zaga) kama utanipa position zao uwanjani nitafurahi zaidi
Mimi tangu nizaliwe ni mpenzi wa Simba na napenda Mpira sana, ila kwa sasa siangalii sana mpira wa nchini kwetu manake sipendi kuumiza roho yangu, badala yake nacheki games za ulaya, niliipenda Pamba sana kwani mpaka sasa sidhani kuna timu imefikia kiwango cha hawa jamaa wakati huo - manake kwa sasa tungesema ilikuwa ni Attaching football yaani mpira wa kushambulia ni kama mfumo ya Barcelona wa wale wapenzi wa mipira ya ulaya.
Je kuna Mtu wakati huo aliweka video ya hawa jamaa wakiwa wanacheza game kama ipo basi nitaipataje? na pia tunaweza ipeleka kwenye kituo cha TV ili watuonyeshe watanzania njisi Tupwisa lilivyokuwa linatisha at that time.
Pia kama huyu kocha yupo nitampata vipi aeleze Strategic plan yake (mpango mkakati)aliyotumia kuwakusanya na kuwafundisha hawa jamaa kwa ustadi wa juu kama vile.
Asanteni Wakuu
Alutaaa...