Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Mataifa mengi yakitaka kununua vitu nje ya nchi yanahitaji Dollar ya marekani.
Marekani akihitaji kununua vitu anatumia Dollar. Kitu gani kitamfanya asi-print pesa zake anapohitaji kununua nje?
Tanzania hatuwezi ku-print pesa yetu maana hatuwezi kuitumia kununua mafuta let say Iran.
Kiuchumi ni kipi kitamfanya USA asi-print pesa zake ili asipate shida. Mtasema itasababisha inflation...pesa itazidi production...lakini hii pesa anayoprint kama haiingizwi kwenye soko la Marekani itaathiri vipi uchumi wao?
Marekani ana Kambi nyingi za jeshi lake nchi kibao duniani....unataka kuniambia wakihitaji pesa Kisha wakawa-print-ia itaathiri vipi uchumi wa marekani.
Niaminishe Marekani ha-print pesa zake anapokuwa na uhitaji.
Kuna watu watasema aki-print pesa zitarudi marekani nchi zingine zinaponunua vitu kwake na pesa dollar ikiwa nyingi duniani itakosa thamani....hapa itategemea na kiasi alichoprint....unapima uhitaji tu Kisha unaingia kwa photocopy unaingiza mkwanja Yemen.