elnino
Member
- Feb 14, 2014
- 75
- 26
Habarini wana-Udsm.
Natumaini wengi wetu tayari tumekwisha ona tulichovuna pale Aris, kwa mliopiga vizuri hongereni na kwa wenye sap poleni bt msife moyo kwani hii inatokea kwa mtu yeyote, muhimu ni kukaza buti.
Tunajua ya kwamba matokeo ya 2[SUP]nd[/SUP] semester yanapotoka huwa in combined form yaan both 1[SUP]st[/SUP] & 2[SUP]nd[/SUP] semester.
Tatizo langu ni kwamba, imetokea grades za 1[SUP]st[/SUP] semester kutofautiana, mfano mtu alipata A 1[SUP]st[/SUP] semester,lakini sasa ana B+ au B kwenye hiyo hiyo kozi ya 1[SUP]st[/SUP] semester.
Swali langu ni, hivi huu utaratibu huwa upo? maana GPA haisomi kabisa, sababu efforts za mtu 2[SUP]nd[/SUP] semester hutegemea matokeo yake ya 1[SUP]st[/SUP] semester.......sasa huu utaratibu wa kubadilisha grades dakika za mwishoni kimsingi unarudisha nyuma maendeleo ya mwafunzi academically,nawasilisha wakuu.