Wana- Udsm, Mwenye uelewa wa hili tafadhari.

elnino

Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
75
Reaction score
26
Habarini wana-Udsm.
Natumaini wengi wetu tayari tumekwisha ona tulichovuna pale Aris, kwa mliopiga vizuri hongereni na kwa wenye sap poleni bt msife moyo kwani hii inatokea kwa mtu yeyote, muhimu ni kukaza buti.
Tunajua ya kwamba matokeo ya 2[SUP]nd[/SUP] semester yanapotoka huwa in combined form yaan both 1[SUP]st[/SUP] & 2[SUP]nd[/SUP] semester.
Tatizo langu ni kwamba, imetokea grades za 1[SUP]st[/SUP] semester kutofautiana, mfano mtu alipata A 1[SUP]st[/SUP] semester,lakini sasa ana B+ au B kwenye hiyo hiyo kozi ya 1[SUP]st[/SUP] semester.
Swali langu ni, hivi huu utaratibu huwa upo? maana GPA haisomi kabisa, sababu efforts za mtu 2[SUP]nd[/SUP] semester hutegemea matokeo yake ya 1[SUP]st[/SUP] semester.......sasa huu utaratibu wa kubadilisha grades dakika za mwishoni kimsingi unarudisha nyuma maendeleo ya mwafunzi academically,nawasilisha wakuu.
 
Mmmh hiyo kitu mbona mi sijawahi kuiona? Nijuavyo mimi kozi zinakuwa zinajitegemea ila gpa ndo inakuwa combined....labda kama mfumo huo umeanza siku hizi
 
Matokeo ya 1st semister huwa yako subjected to change muda wowote..so kilichokutokea ni sahihi tu kijana.binafsi nliwah kupata sup semister ya kwanza ya mwaka wa kwanza,lakni matokeo ya semister ya pili yalivyotoka ile sup ikageuka ikawa ''C'' nilivyofuatilia kujua nin tatizo au kama ni aris imeshake,uongozi wa udbs ukasema senate iliamua kuyabadili matokeo ya baadh ya watu ambao marks zao zilikua zinakaribia kwenye 40.nadhani nimekupa mwanga kijana.
 
Lakini kuna muda mwingine yanakuwa maruweruwe tu ya aris ndio maana huwa tunashauriwa kuchukua provisional results. Mi namshauri mtoa mada aende akaonane tu na course instructor kwa zile course zilizobadilika
 
kwenda kwa course instructor litakua ni jambo zuri.
 
Matokeo ya 1st semister huwa yako subjected to change muda wowote..so kilichokutokea ni sahihi tu kijana.binafsi nliwah kupata sup semister ya kwanza ya mwaka wa kwanza,lakni matokeo ya semister ya pili yalivyotoka ile sup ikageuka ikawa ''C'' nilivyofuatilia kujua nin tatizo au kama ni aris imeshake,uongozi wa udbs ukasema senate iliamua kuyabadili matokeo ya baadh ya watu ambao marks zao zilikua zinakaribia kwenye 40.nadhani nimekupa mwanga kijana.

sawa sawa mkuu....nimekusoma.
 
Back
Top Bottom