wana udsm tupo, hii ndo tarehe halisi ya kufungua chuo kwa mwaka wa kwanza

fortunho

Senior Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
137
Reaction score
53
kwa mujibu wa tovuti ya udsm tarehe ya kufungua chuo ni 1/10/2012.nenda ukahakikishe kwenye web yao sehem iliyo andikwa andikwa press release
 
Mbona mkanganyiko 2muamini nani? Ila kwa kuwa ipo official kwenye web wacha 2ichukue na kuiamini
 
hiyo ki2 ni according 2 tovuti ya chuo jombaa xo kaz kwako kuamini taarifa za chuo au za wa2
 
Kwanini msifuatilie admission letters na nyie watu? Almanac ni official kwa hiyo ni tarehe 01/10/2012
 
ila ni vema kuripoti mapema na kuchuka form kabla hata ya tarehe coz hua kuna folen had unachukia
 
nikiriport mapema nitalala wapi na wkt cna ndugu yeyote hapo mjini?
 
mkasome mambo ya kushinda mlimani city na mwenge muache. Pia muwe makini kimaadili maana watu wengi sana wamepitia hapo kama lowassa,mwigulu,jakaya,hosea,idrissa rashid balali.kawambwa
 
Dah me sikuwezi kaka ha ha ha ha ha hah.
 
mkasome mambo ya kushinda mlimani city na mwenge muache. Pia muwe makini kimaadili maana watu wengi sana wamepitia hapo kama lowassa,mwigulu,jakaya,hosea,idrissa rashid balali.kawambwa

nani kakuomba ushauri bro?
 
mkasome mambo ya kushinda mlimani city na mwenge muache. Pia muwe makini kimaadili maana watu wengi sana wamepitia hapo kama lowassa,mwigulu,jakaya,hosea,idrissa rashid balali.kawambwa

dah we jamaa sasa unakera. Hivi ww UD ilikufanyaje? Comment zote we unakandia 2, au ulipania kwenda huko kipindi flan wakakupiga chini? Vp jistukie bna
 
Madogo Mpuuzeni huyu kilaza Anajiita kingXV1 Ni mbwa kama mbwa wengine...na kwa upepo huu tumeanza kumdharau kama Mwigulu,William Le Mutuz na Kigwangallah.....anapatamani sana Udsm ila ndo vile alipakosa...
 
dah we jamaa sasa unakera. Hivi ww UD ilikufanyaje? Comment zote we unakandia 2, au ulipania kwenda huko kipindi flan wakakupiga chini? Vp jistukie bna

huyu jamaa namfahamu,alidisco pale mwaka wa kwanza,inasemekana alipata sap 5 first semester.
 
Me nlidhanigi huyo jamaa anankera peke yngu.. hana cha maana anachocomment zaidi ya kudandia akisikia UD inatajwa.
 
Back
Top Bottom