Wana UDSM

Wana UDSM

Mnyepe Boy

Senior Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
101
Reaction score
16
Kuna sms imezagaa ikisema kuwa tangazo kutoka kwa loan officer kwamba boom litaanza kusainiwa kuanzia trh 3 hadi 11 ,je hii ki2 ni kwel ! Kwa anaejua bac 2fahamishane !
 
We uko Dunia gani watu wameanza kusain toka 20 february.
 
Kuna sms imezagaa ikisema kuwa tangazo kutoka kwa loan officer kwamba boom litaanza kusainiwa kuanzia trh 3 hadi 11 ,je hii ki2 ni kwel ! Kwa anaejua bac 2fahamishane !

hivi kweli mkuu hii ilikuwa ya kuleta JF na kuanzishia uzi?

ukijibiwa ndiyo, si utauliza pa kusign wapi?
 
Back
Top Bottom