Wana vipaji ila nidhamu na dharau vinawarudisha nyuma

Rubby anajiamini na kusimamia Kile anachokiamini.Kuna faida gani ufanye show ambayo unanyonywa na kampuni ina wadhamini na show zinajaza?Binafsi napenda misimamo yake haina faida kuwa na jina kubwa wakati mfukon huna kitu.
 
Katika maisha,kama huna discipline hutoboi hata uwe na talent gan
 
Hana Biashara yeyote hivi unahitaji kuyangaza Biashara kama WasafiTV, tofautisha Biashara na mambo ya Showoff Biashara ya maana huwezi ificha labda Genge la nyanya.
Binadamu mko bias Sana alikiba yupo tofauti alishasema Mara nyingi yeye ameamua kua tofauti na mastar wengine ameamua kuishi kawaida kwaio hapendi kuexpose mambo yake Kama hayahusiani na kazi zake za music kwaio haiwezi ingia akilini kusema eti kwa level aliyopo Hana biashara yoyote ya kumuingizia pesa nje ya music .
 
Bongo kazi ipo kwakweli, rubi anatetea maslahi yake watu wanasema ana kiburi, yani matamasha yana wadhamini kabisa alafu rubi msanii mwenye kipaji mnataka kumpa pesa ambayo hawezi hata kurekodia studio!!

Huu mziki tuwage wawazi tu clouds hususani bwana Ruge na
chawa wake walinyanyasa sana wasanii, kina nandy wenyewe wali hit kwa kumpa mapenzi Ruge, bila hivyo wangeishia kuwa ma under ground tu.

Ruby hana kiburi bali alikuwa anajitetea, Mtu anaamua kutumia kipaji chake kutuburudisha kwanini tumwite ana kiburi anapotetea maslahi yake??
 
Sio kilamuda ni wakutetea maslahi yako kwenye system ngumu ya Dunia tuliyonayo sasahivi ukiwa maskini kuwa chini kwa muda ili ufaidike baadae ndio busara Ruby nani we have dozen of scholars with high grade working without payment wanajua nini malengo yao na wanacholenga.
 
Goodluck sikumjua kabla ila alitaja nyimbo alizoandika na zingine kugonga beat nilimkubali
Moyo mashine wa ben pol.
Basi nenda wa mo music.

Zingine alikataa kutaja hata hvyo hizi alilazimishwa kutaja.

Bado tu ajajibrand vya kutosha. Ila mara nyingi wasanii wenye vipaji tofauti mf. Kuimba kuandika kuproduce (from sratch mpka output) hua hawapai sana fuatilia hata wa njee
 
Hii list ni batili kama #1 sio ALIKIBA100
 
Ni kweli, hapendi show off
 
Naona majina mapya mapya tu mara ruby mara mavoko mara kiba sijui young killer,ni kina nani wote hao?
 
Bonge la uzi.. Hongera sana Mchambuzi!
 
Rubby anajiamini na kusimamia Kile anachokiamini.Kuna faida gani ufanye show ambayo unanyonywa na kampuni ina wadhamini na show zinajaza?Binafsi napenda misimamo yake haina faida kuwa na jina kubwa wakati mfukon huna kitu.

Watetezi wa Ruby bhana huwa mnachekesha Sana🤣 ana nini cha kuringia huyo hata show ya laki mbili hapati ..... Na kumvimbisha kichwa huku ndo kulimponza ona sasa sa hv anatanga Tanga tuuu.....unaleta kibur wakat huna msingi wwte , ....hata Yesu aliwaambia wayahudi Kwa vile mnatawaliwa na Kaisari haijalishi mnanyonywa vipi lazima mlipe kodi Kwa Kaisari.....walitaka wajinasue Kwa nguvu wakat uwezo hawana , ndo ya Ruby hayo ..pimbi kabisa ....
 
Aliheshimu maamuz ya Baracka na hakutaka kumharibia brand yake , mana baracka alikuwa anadai katunga mwenyewe wakat in reality siyo ..... Alikuwa anamtungia na beat anagonga ....sasa mwamba akawa anavimba kwenye media , Gosbert akaona isiwe tabu akamlindia heshima 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…