Wana vipaji ila nidhamu na dharau vinawarudisha nyuma

Kweli
 
Mwanamke bila chura ni sawa na mwanaume mwenye kibamia
Tofauti yao kati mke na mwanaume ni kuwa mwanamke yake iko wazi kabisaaa hata Rais Jiwe anaona anajisemea Kimoyoni '' Mmm! hapa dogo hamna kitu kijiflatii'' lkn me mwenye kibamia aaag! mpaka umfunue sasa ni leo! hapo ndo wanawake walishindwa kutushinda!!
 
Mwanamke bila chura ni sawa na mwanaume mwenye kibamia
Hivi mnaweza maliza siku bila kututaja vibamia na wapiga nyeto. Yaani kila uzi lazima mtutaje nyuzi nyingine ata hazihusiani ila mnafosi kututaja. Mods tunaomba mshughurikie hii tabia. Asante.
 
Kujua kutunga nyimbo na ujumbe ni tofauti na kipaji cha kuimba...
Ni huku bongo watu hawapendi kusema wimbo umetungwa na nani lakini nje.. Ni kawaida sana.... Wakina marehemu Kenny Rogers wameimba nyimbo nyingi zilizotungwa na watu wengine na hata wakihojiwa wanawataja kabisa bila Kubabaika ila kibongo bongo ni shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…