sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
KweliGoodluck sikumjua kabla ila alitaja nyimbo alizoandika na zingine kugonga beat nilimkubali
Moyo mashine wa ben pol.
Basi nenda wa mo music.
Zingine alikataa kutaja hata hvyo hizi alilazimishwa kutaja.
Bado tu ajajibrand vya kutosha. Ila mara nyingi wasanii wenye vipaji tofauti mf. Kuimba kuandika kuproduce (from sratch mpka output) hua hawapai sana fuatilia hata wa njee