Wana Vipaji lakini sio Bahati

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,262
Reaction score
2,184
1. Jay Moe
Ana uwezo mzuri wa kutunga ana nidhamu mtaratibu ana busara lakini hajawai kua gumzo kwenye jamii kama wenzake alioanza nao pamoja kama mwana fa na nk

2. Q Chief
Alionja mafanikio kidogo kuanzia miaka ya 2003 mpaka 2007 baada ya hapo bundi akaaanza kulia upande wake mpala leo anaonekana kukata tamaa

3. Dark Master
Marehem mangwea alikua anambeba sana mtu huyu kama sio yeye angekua kimya kama alivyo sasa ila akifanya ngoma na marehem ngwea ilitoka poa sana refer she got agwan na bakora

4. KR Mullar
Anajiita jibaba cd mia saba njoo kichwa kichwa nikupe sa uso faba.jamaa kitambo sana lakini hana hit hata moja mpe kolabo hasa na watoto wenzake wa temeke utasimulia balaa lake

5. Nyandu Toz
Zamani alijulikana kama dogo hamidu, anajua lakini bahati ya kutoboa hana kabisa japo hategemei mziki kwa maisha yake lakini anaupenda ndio maana anatoa nyimbo kila siku

6. Suma Mnazaleti
Huyu aliamua kucha mziki ni juhudi za producer tu ndio zilimsihi arudi kwenye game aliamua kuchange kutoka hiphop mpaka bongolfavour lakini bado gundu limemganda sehem mbaya

7. Makamua
Wakali kwanza walileta ladha nzuri kidogo ya r n b kali kwenye mziki lakini baada ya kufa kama ilivyo kwa makundi mengi amekua anahangaika sana kwa kutafuta mpenyo lakini bahati sio rafiki yake tena

8. Gossy B
Alianza zamani kidogo japo sio sana lakini sidhani kama amewai kuingia hata top ten jamaa ana kipaji kwa nzuri na tamu lakini sio bahato

9. Pingu na Desso
jamaa wanajua hasa kwenye ragga na dance hall lakini bahati ndio tatizo au kuroga hawajui lakini hawasikiki

10. PNC
Sauti yake ni nzuri na anajua tatizo ni bahati tu kwake kitambo sana hasikiki msanii huyu







all right reserved
appoh(2014)
 
10.pnc

sauti yake ni nzuri na anajua tatizo ni bahati tu kwake kitambo sana hasikiki msanii huyu







all right reserved
appoh(2014)

Daaaaaaaa
Ona hapo kwenye Blue Invisible !
Hahaaaaaa

anaogopa ku kopiwa !
:msela:
 
Angalau umeanza kuandika vizuri hongeraa anza kuzoeaa kutuwekeaa na pichaa saaaa eti
 
Umewasahau diana,sisa madini,Ally nipishe,pasha wanajuaa kuimba lakini hawapaiii
 
Appo mbona uzi umetolewaa tenaa ule
 
Ondoa Dark Master na KR hao vipaji hamna na weka Jose Mtambo,Mack D, Imam Abbas, black rhino,mapacha

Nashindwa niulizaje lakini kama niliwahi kusikia kuwa Mac D ni marehemu!! Au nimefananisha majina?? Pia Imam Abbas 'bendera ya bati mlingoti wa chuma' haimbi tena siku hizi.
 
Nashindwa niulizaje lakini kama niliwahi kusikia kuwa Mac D ni marehemu!! Au nimefananisha majina?? Pia Imam Abbas 'bendera ya bati mlingoti wa chuma' haimbi tena siku hizi.

yule teja anaitwa mark to b sio mac d brazamen mmoja maeneo ya jet anasimamia bar aka meneja mziki ushamsinda
 
Daaaaaaaa
Ona hapo kwenye Blue Invisible !
Hahaaaaaa

anaogopa ku kopiwa !
:msela:
Waandishi wa kibongo wavivu sana,wanakazi na wanalipwa ila kufuatilia skendo mtaani hawawezi kazi kukaa kwenye mitandao kuangalia nini mtu kapost halafu wa-copy wao
 
Hiyo namba 6 toa kabisaa hastahili apo
 
Ila Q chillar anajitahid sana cjui vile ana nyota gan hivi Spark yuko wapi
 
Nakubaliana na wewe kwenye namba 1,3 na 4
 
Ila Q chillar anajitahid sana cjui vile ana nyota gan hivi Spark yuko wapi

Huyo jamaa alikuwa anamuimba baba yake kila wimbo na kumkashifu halafu akitunzwa pesa anaenda kulewea na kubeba malaya...baba yake mzee katwila alisononeshwa sana na tabia ya kutumiwa kwenye nyimbo na kukashifiwa na damu yake mwenyewe... hana radhi nae.. so hawezi kutoka hata aimbe nyimbo milioni mia...usimchezee kabisa mtu aliyekuleta duniani
 
jay moe ni chuma kisichopata kutu ila kimekosa bahati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…