Wana Vipaji lakini sio Bahati

Wana Vipaji lakini sio Bahati

Kr umemjua jana ww,Tafuta nyimbo za Gwm miaka ya mwanzoni 1990 (e.g cheza mbali na kasheshe),sikiliza wimbo wa Yamenikuta,tafuta album ya Soggy inaitwa Bongo Newyork kuna wimbo unaitwa "Taratibu kama Nyau",then malizia na Kamua,utamuelewa tu labda uwe umezaliwa miaka ya 90.

Hiyo GWM alikua wanaibeba wale pacha alivyozamia SA ikafa hata hiyo Yamenikuta verse iliyobeba ni ya Doto na Sugu,BTW wakati ule hakukua na ushindani mkubwa,kama ana kipaji nitajie nyimbo yake peke yake sio ya kundi aliyo hit.
Unataja nyimbo alizobebwa na Kibra huyo KR ha flow bali anaongea kama Mpoto tu,
FYI mimi kaka yako nipo toka enzi za Yo rap Bonanza na Marehemu Kim
 
Jay Moe kitambo wakati tunakua alikua ana heat sana tu
KR ni mkali wa kutunga mashairi na Style za kucheza-hiyo ndo fani yake
Makamua huyu kapotea bila sababu kama Joslin na Q-Jay(natamani kumuona tena-hit song balaa)
 
squeezer ni kati ya the best kwenye hiphop-ngumu.
'' kwa ubishi na hasiraaa mimi najaaaa.....''!!
sema hana promo na mtu wa kumpush.
nikipata nafasi ntamtafuta huyu jamaa aiseh!!
 
Diamond platnamz nae mbona hayupo kwenye list!Anajua sana
 
Danny Msimamo,Adili Mkwela,Mgosi Mkoloni,Nuruel,Abby skills,O-ten,Gk,Snare,n.k. Kati ya hao wengine wamepotea na wengine wanafanyiwa fitna na maprisenta uchwara!
 
Waswahili,University Corner,Spider wote hao hawana bahati tu.
suma G,Spark, wote nao wameend na maji.

"Nlikuwepo":bolt:
 
2. Q Chief
Alionja mafanikio kidogo kuanzia miaka ya 2003 mpaka 2007 baada ya hapo bundi akaaanza kulia upande wake mpala leo anaonekana kukata tamaa
mpaka bongolfavour lakini bado gundu limemganda sehem mbayya r n b kali kwenye mziki lakini baada ya kufa kama ilivyo kwa makundi mengi amekua anahangaika sana kwa kutafuta mpenyo lakini bahati sio rafiki yake tena

bahati gani unaiongelea wewe? huyu jamaa aliwika sana them days, na album aliuza... just that muda wake umekwisha na hataki kupokeza kijiti...
the only defence mechanism he can think of nikusema kwamba karogwa na kupokonywa nyota yake.
 
mbona hayuko JOSE MTAMBO toka Kigambonino

nakuwa mkubwa km kidole gumba,kamwili kembamba ila hii namba,hee wee mshamba....namkubali sana mshikaji anavyoflow.
 
Back
Top Bottom