naumbu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 4,717
- 8,083
Kr umemjua jana ww,Tafuta nyimbo za Gwm miaka ya mwanzoni 1990 (e.g cheza mbali na kasheshe),sikiliza wimbo wa Yamenikuta,tafuta album ya Soggy inaitwa Bongo Newyork kuna wimbo unaitwa "Taratibu kama Nyau",then malizia na Kamua,utamuelewa tu labda uwe umezaliwa miaka ya 90.
Hiyo GWM alikua wanaibeba wale pacha alivyozamia SA ikafa hata hiyo Yamenikuta verse iliyobeba ni ya Doto na Sugu,BTW wakati ule hakukua na ushindani mkubwa,kama ana kipaji nitajie nyimbo yake peke yake sio ya kundi aliyo hit.
Unataja nyimbo alizobebwa na Kibra huyo KR ha flow bali anaongea kama Mpoto tu,
FYI mimi kaka yako nipo toka enzi za Yo rap Bonanza na Marehemu Kim