Wana Vipaji lakini sio Bahati

kuna mwanamuziki anaitwa omary mkali!huyu sijui niseme hana bahati au analazimisha fani kwani kitambo ni mwanamuziki lakini sijui hata wimbo mmoja unaitwaje ila najua kama jamaa ni mwanamuziki
 
mandojo na domokaya je?wimbo wa dingi hakika ulinibamba enzi zile.majina yao original plz
 
Jay mo namkubali sana ila basi tu bahati sijui siyo yake au majukumu yanambana
 
Nurueli pia yuko vizuri sana,
sema gundu lipo upande wake
 
kuna mwanamuziki anaitwa omary mkali!huyu sijui niseme hana bahati au analazimisha fani kwani kitambo ni mwanamuziki lakini sijui hata wimbo mmoja unaitwaje ila najua kama jamaa ni mwanamuziki

Sasa kama hujui hata wimbo wake mmoja si bora ukae kimya tu.
Anyway,kwa kukusaidia Omary Mkali alikuwa muimbaji mkuu kwenye bendi ya Chuchu Sound
 
Ondoa Dark Master na KR hao vipaji hamna na weka Jose Mtambo,Mack D, Imam Abbas, black rhino,mapacha

Kr umemjua jana ww,Tafuta nyimbo za Gwm miaka ya mwanzoni 1990 (e.g cheza mbali na kasheshe),sikiliza wimbo wa Yamenikuta,tafuta album ya Soggy inaitwa Bongo Newyork kuna wimbo unaitwa "Taratibu kama Nyau",then malizia na Kamua,utamuelewa tu labda uwe umezaliwa miaka ya 90.
 
dark master bado anasikika tuu licha ya kifo cha ngwea...... refer azma ft dark master wimbo we never give up
 
Ferooz vip naona DAZ baba kaja na ngoma yake haina kichwa wala miguu!
 
Kuna Rama dee na Nuruelly hawa jamaa wanaiweza sana RnB kuliko wauza sura akina Ben pol sema tu promo hawana, ingawa Rama dee alichukua tuzo za kili mwaka jsna ila bado hapewi airtime za kutosha
 
asee huyo KR MURA ungemtoa kabisa coz hana kipaji zaid ya mapanga nshaa 2...
pia barnaba anakipaji ila nyota ziro
 
Nashindwa niulizaje lakini kama niliwahi kusikia kuwa Mac D ni marehemu!! Au nimefananisha majina?? Pia Imam Abbas 'bendera ya bati mlingoti wa chuma' haimbi tena siku hizi.

Mac D yupo anapiga issue za Clearing n Forwarding haimbi tena aliyefariki ni Mac 2 B au Mac Mariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…