Ni wazuri sana, ndio maana na Ukimwi ulitawala. nadhan ukimwi uliwapiga sana miaka ya 90-2000 katikat hapo sku hizi maambukizi yanapungua
Hilo halija kata interest zangu za kwenda kuwatembelea.
*nikirudi ntatoa mrejesho
Hahahahahhaaaaaaa mkuu sikushangai,hata nzi hufia kidondani atiii lol
...Labda ndio maana mfalme wa Swaziland,anachagua mabikira tu....lol
...walioathirika vijana,(in 20's) ni 50% ya waathirika wote.
.......Life expentancy ni 32 years lol,because of infection.
.......Endeleeni kuwafagilia ni wazuri,gusa unase,lol
....msinipopoe nimetoa wapi,niliona mahali ila nimeshau source lol.
Pole kwa kupanic....Labda uje na topic yako,ya infection rate in virgins.. Kwa sasa hapa sio mahali page.
Thank you, na kwako piaHaya poa, have a nice day.
watu wanaendelea kuathirika kwasababu ya tendo la maraha so endapo wanajua kuna magonjwa lkn bado wanaendelea pasipokuwa makini! that why hakuna mkate mgumu mbele ya chai..Meaning?
Cyo kwel...Labda ndio maana mfalme wa Swaziland,anachagua mabikira tu....lol
...walioathirika vijana,(in 20's) ni 50% ya waathirika wote.
.......Life expentancy ni 32 years lol,because of infection.
.......Endeleeni kuwafagilia ni wazuri,gusa unase,lol
....msinipopoe nimetoa wapi,niliona mahali ila nimeshau source lol.
Unaposema .5 ya 20s wana hiv ndo ckubalian na hoja ..takwimu zipo ivi 2/10Mkuu ongezea nyama..