Wana virusi!

Wana virusi!

Ni wazuri sana, ndio maana na Ukimwi ulitawala. nadhan ukimwi uliwapiga sana miaka ya 90-2000 katikat hapo sku hizi maambukizi yanapungua
Hilo halija kata interest zangu za kwenda kuwatembelea.
*nikirudi ntatoa mrejesho
 
hahhaaaaaaa mkuu sikushangai,hata nzi hufia kidondani atiii lol
 
...Labda ndio maana mfalme wa Swaziland,anachagua mabikira tu....lol

...walioathirika vijana,(in 20's) ni 50% ya waathirika wote.

.......Life expentancy ni 32 years lol,because of infection.

.......Endeleeni kuwafagilia ni wazuri,gusa unase,lol

....msinipopoe nimetoa wapi,niliona mahali ila nimeshau source lol.

Wengine wanazaliwa navyo, pole yake
 
Norton, Kaspersky, Avg kwani kazi zake ni nini? vipi body defender ni ki run wanatoka kwa njia ya jasho na mkojo..
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
 
watu wanaendelea kuathirika kwasababu ya tendo la maraha so endapo wanajua kuna magonjwa lkn bado wanaendelea pasipokuwa makini! that why hakuna mkate mgumu mbele ya chai..
Nimekuelewa thanks.
 
...Labda ndio maana mfalme wa Swaziland,anachagua mabikira tu....lol

...walioathirika vijana,(in 20's) ni 50% ya waathirika wote.

.......Life expentancy ni 32 years lol,because of infection.

.......Endeleeni kuwafagilia ni wazuri,gusa unase,lol

....msinipopoe nimetoa wapi,niliona mahali ila nimeshau source lol.
Cyo kwel
 
Back
Top Bottom