Wana wa Israel tujuene hapa.

EL_CHAPO_UNO

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2022
Posts
273
Reaction score
508
Eeh.. ndio, wana wa Israel walitembea miaka 40 kutoka Misri hadi kufika nchi ya ahadi, sasa mimi na wewe tuna miaka arobaini tunatembea tu kwa miguu mpaka sasa na nchi ya ahadi bado hatujafika, basi njooni hpa tupeane mbinu ya kununua GARI tuache kutembea kwa miguu maana sio sifa ulimwengu umebadilika tunakosa connections nyingi za kimaisha kwa peku peku zetu.
 
Toyota Cresta,Toyota Mark 2,Verosa,Grande Mark 2 GX 110- Ni baadhi ya magari unayoweza kupata kwa 2-5 Million .
 
Ndinga ni ndinga tu ata kama ni Corolla ya 1m connections unapata
 
Chura superstar[emoji2956] nimependa sana alivyo tokeleze[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…