EL_CHAPO_UNO
JF-Expert Member
- Apr 14, 2022
- 273
- 508
Eeh.. ndio, wana wa Israel walitembea miaka 40 kutoka Misri hadi kufika nchi ya ahadi, sasa mimi na wewe tuna miaka arobaini tunatembea tu kwa miguu mpaka sasa na nchi ya ahadi bado hatujafika, basi njooni hpa tupeane mbinu ya kununua GARI tuache kutembea kwa miguu maana sio sifa ulimwengu umebadilika tunakosa connections nyingi za kimaisha kwa peku peku zetu.