Wana wa Mungu waliwaoa binti za binadamu!

Ndio maana sitaki kujihusisha na hizi dini maana ukisoma unaweza changanyikiwa.
 
Asanteni wakuu kwa majibu yenu mazuri,kwa kutanua mjadala vipi na MWANZO 4:17 KAINI ALIMPATA WAPI HUYO MKEWE AU ALIKUWA MTOTO WA NANI HUYO MKEWE asanteni.
 

Hiv Mkuu unabshana na maandiko? Andiko lnasema kabsa walioneka we unàpindsha maana
 

Hao wana wa Mungu ni Malaika.Soma Ayubu 38:4-7
Walikufa wakati wa Gharika ya siku ya Nuhu.
 
inasemekana kulikuwa na old bible, old bible ilikuwa imetokana na masimulizi ya wazee wa kiafrika.Hayo majitu inasemekana uzao wake ndio wazungu.Hiyo old bible iliharibiwa na wazungu,mikaka kama kumi kulikuwa na mjadala mkubwa kuhusiana na old bible na kwanini wazungu walihiharibu mjadala huu ulifanywa na tv ya cnn ila maelezo ya wazee wa kiafrika yalikuwa straight tofauti na haya maelezo ambayo hayaelezi hao watu waliishia wapi.Kwa kifupi old bible ilimzungumzia zaidi mwafrika
 
Wana wa Mungu ni uzao wa Adam na binti za wanadamu walitokana nauzao wa Kaini kumbuka Kaini sio uzao wa Adam hivyo hakutokana na Mungu
 
kama mkuu alivyosema hapo juu tafuta kitabu cha enoch (book of enoch) kimeelezea hao wana wa Mungu.
 
Asante Mkuu. Nimepata hiki kitabu kutoka Google, kinaeleza mambo magumu sana isee. Kitabu kinaelezea mpaka mambo ya kuzaliwa kwa Yesu na mpaka ufunuo. Very interesting.

Mkuu tafuta kitabu cha Ennoch ' The book of Ennoch. au documentary zake. kinaeleza kwa kina kuhusu hii story.
 


Funzo hapo kwangu mimi kuwa ni suala zima la TAMAA, ambalo ndilo ilo andiko linafundisha, tamaa kama ambayo alikua nayo shtani mpka aka muasi Mungu.
 
Asante Mkuu. Nimepata hiki kitabu kutoka Google, kinaeleza mambo magumu sana isee. Kitabu kinaelezea mpaka mambo ya kuzaliwa kwa Yesu na mpaka ufunuo. Very interesting.

Utaambiwa vitabu vikupotosha na kumpinga mungu sasa hivi wewe ngoja waje wenye dini zao
 

Mmmmh, mkuu prove maana mi naona nyotanyota apo ktk maelezo yako!! Daaah.
 
Malaika walioasi! Malaika anamatamanio? Je huko mbinguni walikokua walikua wana mademu? Na kama hawakua na mademu na wala hawana matamanio ilikuaje wakawatamani binadamu? Na kama waliweza kuwalala wanawake Je wanamaumbile kama ya binadamu yaani wanaume?
 
Neno lilimaanisha watu weusi kuzaliana na watu weupe wa mataifa mengine.
Hizo zingine ni porojo tu na kujidanganya.
 

Prove sasa Jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…