Wana WCB.... nisaidieni hapa SIMBAA alikua akipafom wapi!?? Picha zinatrend tu ..ila sjajua ... Pls help.

Aache mziki akasome Madrasa atapata faida zaidi.
 
Hiyo kazi ni mikono ya Michael, a guy from Nairobi!!

Jamaa angekuwa yupo Tz, angefaa sana kuwa new Kifesi!
 
Alikiba nae alipiga show akiwa amevaa hivyo huko nairobi sema hapendi show off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…