Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitendo cha kupumzisha mastaa wetu kwa gwambina ili tutunze watu wa kuifunga simba ni udhaifu ona sasa tulidrow na gwambina na kufungwa na simba, kocha hana akili! Mechi zote zilikuwa na points 3,kocha hafaiiii, afukuzwe.......
ila sisi waaafrika hatuna akili aisee. hiki kitu ni cha aibu sana. wakifungwa kocha ajiandae kujibuKitendo cha kupumzisha mastaa wetu kwa gwambina ili tutunze watu wa kuifunga simba ni udhaifu ona sasa tulidrow na gwambina na kufungwa na simba, kocha hana akili! Mechi zote zilikuwa na points 3,kocha hafaiiii, afukuzwe.......
Nyie Wafrika hamna akili?ila sisi waaafrika hatuna akili aisee. hiki kitu ni cha aibu sana. wakifungwa kocha ajiandae kujibu