Pemba empire
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 467
- 1,339
Na nyie na mabwana zenu huwa hamwezi tulia mpaka mje waandikia uzi?Manara aendelee na tabia zake za kuchambana na watu Ila madogo alikamwe na Privadinho wapo vizuri na wamempoteza sana.
Sisi Km Yanga hatumtaki Huyu Manara arudi Simba na Hata Tff wakimfungulia hatumtaki Tena Yanga.
Manara anagombana na kila mtu.
Kagombana na shafii..kitenge..jemedari saidi..jeff lea ..prisca kashamba wa clouds fm..na kila mtangazaji akitoa maoni tofauti anatukana..
Angalia vijana wetu Now huoni wakitukana mtu.zaidi ya utani tu kimpira.
Manara endelea kuchambana na Ma x zako uliowaacha kwenye mpira hatukutaki Au rudi Kwa makolo.
View: https://youtu.be/AY0DtYuG0c0?si=tbYxOWLrWR4LX92I
Tena usishangae CCM wakamchukua kwa mbwembwe huku akiletwa Lumumba na farsi au ngamia. Chama la vituko haijapata kutokea.Itikadi na Uenezi ππ
Awilo yuko poa zile zilikuwa swaga zake tu Ili atrendi mitandaoni πTena usishangae CCM wakamchukua kwa mbwembwe huku akiletwa Lumumba na farsi au ngamia. Chama la vituko haijapata kutokea.
By the way, vipi hali ya AWILO aliye vunja uti wa mgongo inaendeleaje?
Kha! John acha fix, swaga ndio alie kama ng'ombe machinjioni?Awilo yuko poa zile zilikuwa swaga zake tu Ili atrendi mitandaoni π
Huyo aende CCM tu ndiyo sehemu ya wanafiq na chawa wabobeziManara aendelee na tabia zake za kuchambana na watu Ila madogo alikamwe na Privadinho wapo vizuri na wamempoteza sana.