Wana Yanga hii inawahusu

Wana Yanga hii inawahusu

Nasikia yameshaisha eti Mtani. Ila nawaza tu ingekuwa nyie mngekubali?
Sisi hatuna neno mtani tuko very professional si unaona Logo ya CAF tuliivaa ya kijani kabisa.
.
Ninyi uswahili mwingi
 
Sisi hatuna neno mtani tuko very professional si unaona Logo ya CAF tuliivaa ya kijani kabisa.
.
Ninyi uswahili mwingi
Hizi nikauli zenu Mtani.

Ila niseme tu hao Vodacom wana lao jambo sababu sio kwamba ndio wanaanza kuidhamini TPL kwa mara ya kwanza.

Hii nyekundu wangeileta tangia mwanzo hapo sawa sasa umruhusu msimu huu avae nyeusi kisha mbeleni ulazimishe avae nyekundu huoni wanataka kuleta mkanganyiko.
 
Hizi nikauli zenu Mtani.

Ila niseme tu hao Vodacom wana lao jambo sababu sio kwamba ndio wanaanza kuidhamini TPL kwa mara ya kwanza.

Hii nyekundu wangeileta tangia mwanzo hapo sawa sasa umruhusu msimu huu avae nyeusi kisha mbeleni ulazimishe avae nyekundu huoni wanataka kuleta mkanganyiko.
Hivi mtani Timu zote za VPL mfano Azam fc, Kagera sugar, Mtibwa Sugar, Mbao fc, Singida united, Alliance fc, Mwadui fc, JKT Ruvu na wenzao wasiovaa jezi nyekundu ukiwaacha Coastal union n.k
.
Wakigoma kuvaa logo nyekundu ya Vodacom itakuwa ni ligi kuu au ligi ya mchangani?
.
Kipindi EPL inadhaminiwa na Barclays sikuwahi kuona eti timu haivai logo yao kisa ni ya blue. huu ni ushamba mtani kubali ukatae.
Watendaji wa Yanga ni washamba na waswahili sana mtu mkubwa kama Frederick Mwakalebela aliyewahi kuwa kiongozi mkubwa TFF anakuwa na akili za kijinga kabisa.
.
Ndio maana soka la Tanzania halipigi hatua, kama ni mfatiliaji wa ligi anayocheza Samatta au ya Uholanzi jezi za wachezaji zimechafuka kwa majina ya wadhamini
 
Anaandika Emmanuel M. Makalla mmoja kati ya wanachama wachache wa Yanga wenye akili timamu.
______
Natafuta tusi moja niwatukane viongozi wa Yanga lakini najikuta roho mtakatifu ameficha maneno yote machafu.

Hivi hapo Yanga hakuna watu wa masoko wawafundishe nini maana ya nembo ya biashara?

Hivi Mwakalebela bado una mambo ya kitoto hivyo kiasi kwamba hadi unaona nembo ya Vodacom inabadilisha rangi ya jezi za Yanga?

Na wewe Dr. Mshindo Msolla hivi ukiamka kesho asubuhi ukakuta nembo ya CAF imebadilishwa na kuwa na rangi NYEUPE na Yanga ikaingia hatua ya makundi michuano ya CAF mtagomea nembo hiyo ya CAF yenye rangi nyeupe?

Kwa huu ujinga wenu bora tufungwe tu Zesco United....pengine akili zitawakaa sawa... utoto kabisa.
Hivi hii ndio Yanga mpya mlioitangaza? Hivi kwa huu upuuzi tunaweza kuwatofautisha vipi na mzee Akilimali?

Mwambieni Zahera awe anavaa t-shirt za njano na kijani pekee akiwa kazini maana kuna wakati anavaa hadi zenye rangi ya blue wakati sio utamaduni wa Yanga na katiba inakataza.

TFF msimu huu nawaaminia kwa misimamo kazeni hivyo hivyo na msiwape nafasi ya kugomea udhamini wa Vodacom maana hawa watu jeuri sana au washushwe daraja kabisa.

Kuna shida gani hiyo nembo nyekundu ya Vodacom kukaa begani? Kwani itakuwa imebadilisha rangi ya jezi?

Ujinga ujinga ujinga.!
Eti umesema huyo mwandishi ana akili timamu?Kitokee nini hadi mwanachama mwenye akili timamu aitakie timu yake laana ya kushuka Daraja? Huyo ama si mwanachama wa timu anayoitakia ishuke daraja, au hana akili timamu, au yote mawili kwa pamoja.
 
Back
Top Bottom