Mbumbumbu fc ndio jina tunalikubali, tulipewa na mwenyekiti Lage Tena kwenye mkutano mkuu ulio husisha wanachama wote.Kwaiyo Jina La 'Wala Mihogo' mlilikubali..!
Twambieni Kbs katika Majina yote ni yapi Mliyapenda Na kuyakubali ili tukiyatumia iwe tu ni Sehemu Ya 'Utani Wa 'Simba Na Yanga.!
-n . k.
- Utopolo
- Wala Mihogo
- Fc Kinyesi
- Fc Umbwa
- Manyani Fc
- Vyura
- Kanda mbili
GongowqziKwaiyo Jina La 'Wala Mihogo' mlilikubali..!
Twambieni Kbs katika Majina yote ni yapi Mliyapenda Na kuyakubali ili tukiyatumia iwe tu ni Sehemu Ya 'Utani Wa 'Simba Na Yanga.!
-n . k.
- Utopolo
- Wala Mihogo
- Fc Kinyesi
- Fc Umbwa
- Manyani Fc
- Vyura
- Kanda mbili
Ona hii topolo hata kuandika hajui anarusha mate tuMbumbumbu fc ndio jina tunalikubali, tulipewa na mwenyekiti Lage Tena kwenye mkutano mkuu ulio husisha wanachama wote.
Unaamini huko wanaenda kukutana na Mbuni fc mechi zote?Baada ya yanga kupewa jina la wala mihogo mimi nilitabiri kuwa jina hili litakuwa na bahati yake kwenye mashindano haya
Na leo nimekuja kusema kuwa yanga ndo atakuwa bingwa wa shirikisho najua kuna ambao watakataa lakini messege yangu imefika View attachment 2497985View attachment 2497986