Wana Yanga mnakumbuka kauli hii

Wana Yanga mnakumbuka kauli hii

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Baada ya yanga kupewa jina la wala mihogo mimi nilitabiri kuwa jina hili litakuwa na bahati yake kwenye mashindano haya

Na leo nimekuja kusema kuwa yanga ndo atakuwa bingwa wa shirikisho najua kuna ambao watakataa lakini messege yangu imefika
Screenshot_20230128_022117_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
Screenshot_20230128_021815_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
 
Kwaiyo Jina La 'Wala Mihogo' mlilikubali..!

Twambieni Kbs katika Majina yote ni yapi Mliyapenda Na kuyakubali ili tukiyatumia iwe tu ni Sehemu Ya 'Utani Wa 'Simba Na Yanga.!
  • Utopolo
  • Wala Mihogo
  • Fc Kinyesi
  • Fc Umbwa
  • Manyani Fc
  • Vyura
  • Kanda mbili
-n . k.
 
Mbumbumbu fc ndio jina tunalikubali, tulipewa na mwenyekiti Lage Tena kwenye mkutano mkuu ulio husisha wanachama wote.
 
Gongowqzi
 
Mbumbumbu fc ndio jina tunalikubali, tulipewa na mwenyekiti Lage Tena kwenye mkutano mkuu ulio husisha wanachama wote.
Ona hii topolo hata kuandika hajui anarusha mate tu
 
MNAJADILI MAMBO YA KITOTO SANA.

HAPA NI GREAT THINKERS.

DAHHH!!!! JAMII FORUM.
 
Back
Top Bottom