Wana Yanga mnatoa wapi nguvu ya kulalamika

goroko77

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2019
Posts
8,845
Reaction score
13,072
Mtu hutoi hata mia mbovu halafu unakuja kumfokea Rais kuwa amekutukana, mnajua ni kiasi gani Injinia amejitolea kwa klabu hiyo? Mlisahau mlivyokuwa mnatembeza mabakuli mitaani? Je, mlisahau hilo? Hiyo aibu imefunikwa na Ijinia. [emoji3]

Kwani kula mihogo ni kosa gani nchi hii? Kwanini ni aibu, kwani hatuli miogo asubuhi, mchana na jioni? Injinia usiombe radhi, ukweli ndiyo huo huo, ubaki hivyo.

Halafu kanatokea kachambuzi mmoja mjinga jinga anaitwa Edgar wa CMG analamika wasiwasi kuwa Injinia anapaswa kuomba msamaha. Kwa lipi? Clip ilirekodiwa siku za nyuma, leo inaibuliwaa na wahuni wasiolitakia Yanga mema. Edgar unaujinga sana!

Mwisho, Mkuu injinia tunakuomba sana uendelee na moto huo huo wa kuipenda Yanga. Umetumia ushawishi mkubwa kutoa pesa za tajiri GSM ili tuweze kusajili na kuendesha timu, sasa wanatokeaa wala mihogo wanalalamika kana kwamba wamechangia katika pesa za usajili. Hakuna na hakuna mtu wa kufukuzwa pale, tutafika tu.

Usiombe radhi, zaidi sana koleza moto kuwa ni wala mihogo kama wale walioitwa mashabiki Mbumbumbu FC.
 
Kiukweli nimekuwa nikii attack Yanga katika angle nyingi ila since nimeona hii clip ya Hersi kiukweli imenitia machungu na kunipa huruma

Huyu jamaa kaongea kwa hisia sana na inaonesha jinsi gani amekuwa akijaribu kufanya kila awezalo kuhakikisha anatengeneza mahusiano mazuri kati yake na mashabiki

Lakini kwa kilichotokea jana kupitia video hii unaweza kuona ni jinsi gani amekuwa disappointed

Kama ni kweli yale madai ya kusema jamaa ameamua kutumia hadi hongo kwa marefa na timu pinzani kwa ajili ya kuifanya Yanga ipate ushindi basi inabidi tukumbuke na fadhila zake za kujali hisia za mashabiki na ndio maana anafosi kuhakikisha wote wanafurahi.

Nimemuona kama aina fulani ya mzazi ambaye amejitoa sadaka kuipambania familia yake kwa kuhakikisha watoto wanapata mahitaji yao muhimu japo njia anazotumia sio halali.

Hersi ana malengo mazuri na Yanga na ana uchungu na Club ila njia anayotumia tu ndio changamoto kwasababu inaonesha advantage kwa upande mmoja tu, upande mwingine njia hiyo imewekewa vizuizi na ndio hapo yalipo matumaini mengi ya wana Yanga.

Mwisho wa siku Hersi anajikuta yuko kwenye wakati mgumu

Pole sana kwa hilo
 
View attachment 2406194
Kbsaa mkuu kijana wa watu anapambna kuhakikisha kuwa tunakuwa na furaha kwa gharam yoyote ile alfu anatokea mla miyogo Ana mfokea rais
 
Kiukweli nimekuwa nikii attack Yanga katika angle nyingi ila since nimeona hii clip ya Hersi kiukweli imenitia machungu na kunipa huruma

Huyu jamaa kaongea kwa hisia sana na inaonesha jinsi gani amekuwa akijaribu kufanya kila awezalo kuhakikisha anatengeneza mahusiano mazuri kati yake na mashabiki

Lakini kwa kilichotokea jana kupitia video hii unaweza kuona ni jinsi gani amekuwa disappointed

Kama ni kweli yale madai ya kusema jamaa ameamua kutumia hadi hongo kwa marefa na timu pinzani kwa ajili ya kuifanya Yanga ipate ushindi basi inabidi tukumbuke na fadhila zake za kujali hisia za mashabiki na ndio maana anafosi kuhakikisha wote wanafurahi.

Nimemuona kama aina fulani ya mzazi ambaye amejitoa sadaka kuipambania familia yake kwa kuhakikisha watoto wanapata mahitaji yao muhimu japo njia anazotumia sio halali.

Hersi ana malengo mazuri na Yanga na ana uchungu na Club ila njia anayotumia tu ndio changamoto kwasababu inaonesha advantage kwa upande mmoja tu, upande mwingine njia hiyo imewekewa vizuizi na ndio hapo yalipo matumaini mengi ya wana Yanga.

Mwisho wa siku Hersi anajikuta yuko kwenye wakati mgumu

Pole sana kwa hilo
View attachment 2406194
Bado hajawa mature kwenye mpira sioni unachomtetea hapo. Mchezo wa mpira una njia zake mkuu hauna shortcut hata siku moja. Huyu anafeli katika kuishi katika njia za mpira anategemea shirtcut jambo ambalo lazima kwa mechi za kimataifa uumbuke tu. Unahitaji wachezaji walio bora, benchi lililo bora na maandalizi yaliyobora. Sio mzoefu wa soka hivyo ni bora shughuli za kiuongozi upande usajili, mipango, mikakati, n.k akaachiwa wanaolijua soka lengewe. Yeye abaki kwenye ishu za kiutawala tu.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Wala miogo mibichi
.
IMG-20221103-WA0020.jpg
 
Kiukweli nimekuwa nikii attack Yanga katika angle nyingi ila since nimeona hii clip ya Hersi kiukweli imenitia machungu na kunipa huruma

Huyu jamaa kaongea kwa hisia sana na inaonesha jinsi gani amekuwa akijaribu kufanya kila awezalo kuhakikisha anatengeneza mahusiano mazuri kati yake na mashabiki

Lakini kwa kilichotokea jana kupitia video hii unaweza kuona ni jinsi gani amekuwa disappointed

Kama ni kweli yale madai ya kusema jamaa ameamua kutumia hadi hongo kwa marefa na timu pinzani kwa ajili ya kuifanya Yanga ipate ushindi basi inabidi tukumbuke na fadhila zake za kujali hisia za mashabiki na ndio maana anafosi kuhakikisha wote wanafurahi.

Nimemuona kama aina fulani ya mzazi ambaye amejitoa sadaka kuipambania familia yake kwa kuhakikisha watoto wanapata mahitaji yao muhimu japo njia anazotumia sio halali.

Hersi ana malengo mazuri na Yanga na ana uchungu na Club ila njia anayotumia tu ndio changamoto kwasababu inaonesha advantage kwa upande mmoja tu, upande mwingine njia hiyo imewekewa vizuizi na ndio hapo yalipo matumaini mengi ya wana Yanga.

Mwisho wa siku Hersi anajikuta yuko kwenye wakati mgumu

Pole sana kwa hilo
View attachment 2406194
Mnafki sana huyo tangu
Clip yake ivuje akiwa anaongea upumbavu na kisinda na fiston abdulrazack wakati tunacheza na berkane nilimdharau sana haya ndio malipo ya unafki
Ngoja kiwake zaidi akili imkae sawa
 
Back
Top Bottom