goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Mtu hutoi hata mia mbovu halafu unakuja kumfokea Rais kuwa amekutukana, mnajua ni kiasi gani Injinia amejitolea kwa klabu hiyo? Mlisahau mlivyokuwa mnatembeza mabakuli mitaani? Je, mlisahau hilo? Hiyo aibu imefunikwa na Ijinia. [emoji3]
Kwani kula mihogo ni kosa gani nchi hii? Kwanini ni aibu, kwani hatuli miogo asubuhi, mchana na jioni? Injinia usiombe radhi, ukweli ndiyo huo huo, ubaki hivyo.
Halafu kanatokea kachambuzi mmoja mjinga jinga anaitwa Edgar wa CMG analamika wasiwasi kuwa Injinia anapaswa kuomba msamaha. Kwa lipi? Clip ilirekodiwa siku za nyuma, leo inaibuliwaa na wahuni wasiolitakia Yanga mema. Edgar unaujinga sana!
Mwisho, Mkuu injinia tunakuomba sana uendelee na moto huo huo wa kuipenda Yanga. Umetumia ushawishi mkubwa kutoa pesa za tajiri GSM ili tuweze kusajili na kuendesha timu, sasa wanatokeaa wala mihogo wanalalamika kana kwamba wamechangia katika pesa za usajili. Hakuna na hakuna mtu wa kufukuzwa pale, tutafika tu.
Usiombe radhi, zaidi sana koleza moto kuwa ni wala mihogo kama wale walioitwa mashabiki Mbumbumbu FC.