SahihHapana kaka, tusijipe moyo sisi ndo basi tena!!
Tuwaachie simba
Ule moyo wa kuwafunga al hilal 3 -0 umevunjika,?Hapana kaka, tusijipe moyo sisi ndo basi tena!!
Tuwaachie simba
lqbda makundi ya vikobaYanga hawezi kufungwa na Al hilal, Yanga anaingia Makundi kibabe.
Wakati unaiongelea Yanga, timu yako inayocheza leo imeshafuzu hatua ya makundi? Au mnafikiri mpira unachezwa mdomoni kama mlivyo zoea?Mwezi wa 6 mwaka huu nilisema ni lazima Yanga atafika mbali kimataifa. Na siogopi kusema hivyo. Nilisema Yanga mechi za nyumbani atakuwa anafanya vibaya ila akifika ugenini ndiyo moto unatawaka....
Mwakajana Manara aliyaita mashindano ya CAF Confederation kama kombe la loosers baada ya Simba kuangukia huko ...sasa nasubiri mwakahuu utoporoo mkishatolewa Sudan mtayaitaje hayo mashindano🤣🤣🤣Wakati unaiongelea Yanga, timu yako inayocheza leo imeshafuzu hatua ya makundi? Au mnafikiri mpira unachezwa mdomoni kama mlivyo zoea?
Yaani mnavyo ijadili Yanga, unaweza kufikiri labda kwa upande wenu mlishafuzu tayari hatua ya makundi! Nyinyi ndiyo maana huwa tunawafunga kila mechi.napenda sana kucheza mpira mdomoni, badala ya uwanjani.
Kwa hiyo nyinyi mna uhakika mtaingia makundi siyo, na hiki kikosi chenu cha tia maji tia maji! Yaani timu inategemea hamasa kutoka kwa Juma Mgunda!! Halafu ifuzu, na Yanga iliyokamilika kila idara, ishindwe!!Mwakajana Manara aliyaita mashindano ya CAF Confederation kama kombe la loosers baada ya Simba kuangukia huko ...sasa nasubiri mwakahuu utoporoo mkishatolewa Sudan mtayaitaje hayo mashindano🤣🤣🤣
Simba ni simba tu mra. Subiri tu uingie CAFcc huko nako ukapigwe kama ngoma urudi nyumbani kujipigia vitoto vyako vya NBC PL ulivyovizoea.Kwa hiyo nyinyi mna uhakika mtaingia makundi siyo, na hiki kikosi chenu cha tia maji tia maji! Yaani timu inategemea hamasa kutoka kwa Juma Mgunda!! Halafu ifuzu, na Yanga iliyokamilika kila idara, ishindwe!!
Haya yatakuwa ni maajabu.
Mpaka sasa haujasikia tambo zozote kutoka kwa viongozi na mashabiki wa Simba Sc kuwa wataipasua De Agosto, ila hali ilikuwa tofauti kwenu mlipoidharau Hilal na kudai kuwa mtaipiga kama ngoma.Wakati unaiongelea Yanga, timu yako inayocheza leo imeshafuzu hatua ya makundi? Au mnafikiri mpira unachezwa mdomoni kama mlivyo zoea?
Yaani mnavyo ijadili Yanga, unaweza kufikiri labda kwa upande wenu mlishafuzu tayari hatua ya makundi! Nyinyi ndiyo maana huwa tunawafunga kila mechi.napenda sana kucheza mpira mdomoni, badala ya uwanjani.
Unaiona timu yako imekamilika kwa sababu ya vihongo hongo mnavyotoa kwa wapinzani.Kwa hiyo nyinyi mna uhakika mtaingia makundi siyo, na hiki kikosi chenu cha tia maji tia maji! Yaani timu inategemea hamasa kutoka kwa Juma Mgunda!! Halafu ifuzu, na Yanga iliyokamilika kila idara, ishindwe!!
Haya yatakuwa ni maajabu.