Wana Yanga SC hapa JamiiForums mmemsikia lakini mwana Yanga SC Mwenzenu Mchambuzi Oscar Oscar kuhusiana na Jezi zenu mpya za Msimu huu?

Mafanikio ya Simba sasa hivi ni kupondea Jersey za Yanga.
1722191617663.png
 
Ndio kombe lenu hili
Ni hivi, huku nje ipambanieni jezi yenu kuwa ni kali sana na kuiponda SANDA ya Simba. Lakini mkiwa wenyewe huko ndani, mwambieni ukweli mkandarasi wa jezi kuwa hayo mabaka mabaka kwa kweli hayapendezi. Ile jezi nyeusi na tepe nyeupe hakika ni nzuri kwa kuwa haina painting za marangirangi kama zile mbili nyingine
 
Mbona bado hamjasema?
 
Hivi yule mzee wa meme ni mwana Yanga kweli? Mbona mi najua yeye na Edo ni Lunyasi lialia
 
Back
Top Bottom