GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Naomba ateuliwe Mwanachama Mmoja hapa na awe ni mwana Yanga SC Mwenzetu kabisa kama nilivyo Mimi GENTAMYCINE ili tuweze kufanya 'Mobilization' ya 'Michango' hadi ipatikane Tsh Milioni Tano na 'tumkabidhi' Msemaji wetu Hassan Bumbuli ambaye Klabu yetu ya Yanga na hadi 'Wadhamini' wetu GSM chini yake Injinia Hersi ni kama 'wamemtosa' vile na Yeye Bumbuli nae hana hata Pesa.
Wanayanga Wenzangu hebu tufuteni 'Aibu' hii haiwezekani Msemaji wa Simba SC Haji Manara Yeye ameweze Kulipa 'Faini' yake ya Tsh Milioni Tano tena zote akizitoa katika Mfuko wake ( hajasaidiwa na Klabu yake ya Simba SC ) halafu Sisi wanayanga ambao tunajua kabisa kuwa Msemaji wetu Hassan Bumbuli ni 'Choka Mbaya' mno tunamuacha tu hivi hivi.
Inauma sana wanayanga Wenzangu na sijui ni kwanini Simba SC huwa 'inatushinda' kwa kila Jambo. au Yanga SC nayo iwe ndani ya Simba SC?