GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Ili mpewe Alama (Points) Tatu za bwerere mnazozitaka Kikanuni kulipaswa Kwanza kuwe na tukio gani Kikanuni?
2. Aliyesababisha Mchezo kutochezwa ni Klabu ya Simba au ni Bodi ya Ligi chini ya TFF?
3. Ni lini Yanga SC imewahi kuwa na Kesi popote pale (ndani TFF na nje CAF au FIFA) na ilishinda / ikashinda?
4. Bodi yoyote ile ya Ligi huwa inavunjwa katikati ya Msimu wa Ligi au Ligi ikiwa bado inaendelea?
5. Baada ya Mechi kuahirishwa na Bodi (TFF) nani aliwaambia Mechi imetangazwa kurudiwa Bunju mlikoenda?
6. Kama Bodi ya Ligi Kuu isipovunjwa na mkapangiwa Michezo yenu mtaacha kucheza au mtaendelea kucheza?
7. Kama Bodi ya Ligi (TPLB) ni Mali na sehemu ya TFF kwanini hamkuwalaumu TFF hasa Rais Karia na mmewalaumu tu Watu wawilia ambao ni mwana Yanga SC kindakindaki Mzee Steven Mguto na mwana Yanga SC lia lia mwenzenu Almasi Kasongo?
Wana Simba SC mlioko hapa JamiiForums tafadhali tutulieni tusome majibu ya hawa walioshindikana Oky?