Yanga alama tatu Hawezi pata Sababu Bodi ya Ligi iliahirisha mchezo kihuni ingawa lolote linawezekana ....Hii game Simba walishajipanga wasicheze Ndio maana hata msemaji wao siku ya press alikuwa kama Kuku mwenye mdonde kanywea anasingizia Mfungo wakati si kawaida Yake kupoa
Kilichofanyika ni uhuni na sio mara ya Kwanza tunaona Bodi ya Ligi inaegemea upande WA Simba
• Review mech ya Simba na Yanga 2021..Bodi ya Ligi inabadilisha MDA WA mchezo kirahisi rahisi wakati kanuni zinasema masaa 24 kabla Ndio watoe taarifa kwanini wao walitoa taarifa siku ya mechi ilhali kulikuwa hakuna Sababu ya msingi kufanya hivo.
•Review mech ya Simba na Kagera sugar,Simba wanasema wachezaji wao sijui 13 Wana mafua hivo hawawezi cheza mech taarifa imetoka masaa mawili kabla ya mech kuwa mechi imeaihirishwa.
•Review mech ya Yanga na Simba 2025 tenah ,Simba kakosa mazoezi anasusa kuwa hatocheza na Bodi ya Ligi ikiwa na Sababu za Msingi kabisa zakuwaadhibu Simba inaahirisha mechi.Mbona Simba aliweza kumvimbia Pamba wakati alipokuwa ananyimwa haki ya msingi ya kufanya mazoezi sasa analeta hoja et mabaunsa watatu wawasumbue mabasi Timu nzima?,pia wiki nzima alikuwa anajiandaa kwa ajili ya nn?
Mwisho,Simba iache janja janja hawana kikosi kwl cha kuisumbua Yanga DK 90 ,ila kwenye mpira lolote linaweza tokea kukimbia huku mech kisa Wana majeruhi wawili watatu ni ushamba na uhuni...