Wana Yanga SC mlioko hapa JamiiForums ili niamini kuwa mna Akili na kweli mnazitaka alama 3 za mezani nijibuni haya maswali yangu

Kama kitu hukijui uliza...sio unavamia tu kama mlevi!
Si ujibu tu Kama unayo copy ya barua weka hapa tuone na timestamp.
Weka na dispatch iliyo sainiwa muda wa delivery ya hiyo barua au tuoneshe email.
Hapo utamaliza utata na kutuzima wote wenye mashaka na vichwa vigumu.
Otherwise, kubali umeuliza swali la aibu kuuliza mtu mwenye kichwa sawasawa.
 
Genta huu msala unaingia chaka mjita.
Bodi ya ligi, Yanga na Simba wote wamevurunda.
Wamekosea na wametia aibu.
Bora ukae pembeni neutral tu.
 
Mnyama katia aibu zaidi kukimbia 5G ya kuwa defeated 5 times consecutively.
Wachezaji wa Kolo jikazeni baneni tackle.
Huu msala lengo lilikuwa kuwalinda viongozi wahujumu wa ... wa Simba..
Ngungu boy, Jaribu Tena, na Panjuani wamehofu wangepoteza wangefurushwa na wenye club yao (wanachama) wa Unyamani.

Jamaa wemenusa wakaona bora aibu ya kukimbia mechi kuliko fedhea ya kupigwa mara ya 5 mfululizo. Watu wata declare the Kariakoo Derby is dead.
 
1. Ili mpewe Alama (Points) Tatu za bwerere mnazozitaka Kikanuni kulipaswa Kwanza kuwe na tukio gani Kikanuni?

2. Aliyesababisha Mchezo kutochezwa ni Klabu ya Simba au ni Bodi ya Ligi chini ya TFF?

3. Ni lini Yanga SC imewahi kuwa na Kesi popote pale (ndani TFF na nje CAF au FIFA) na ilishinda / ikashinda?

4. Bodi yoyote ile ya Ligi huwa inavunjwa katikati ya Msimu wa Ligi au Ligi ikiwa bado inaendelea?

5. Baada ya Mechi kuahirishwa na Bodi (TFF) nani aliwaambia Mechi imetangazwa kurudiwa Bunju mlikoenda?

6. Kama Bodi ya Ligi Kuu isipovunjwa na mkapangiwa Michezo yenu mtaacha kucheza au mtaendelea kucheza?

7. Kama Bodi ya Ligi (TPLB) ni Mali na sehemu ya TFF kwanini hamkuwalaumu TFF hasa Rais Karia na mmewalaumu tu Watu wawilia ambao ni mwana Yanga SC kindakindaki Mzee Steven Mguto na mwana Yanga SC lia lia mwenzenu Almasi Kasongo?

Wana Simba SC mlioko hapa JamiiForums tafadhali tutulieni tusome majibu ya hawa walioshindikana Oky?
🚮
 
Maswali ya akili kubwa sana
 
Sauti haijawahi kutoa vilaza.
 
Maswali ya akili kubwa sana
Ukipikwa na SAUT Mwanza hasa katika Mass Communication huwezi kuwa Mpumbavu na Hasara katika Taifa na Tasnia ya Habari / Uandishi wa Habari.
 
1. Ili mpewe Alama (Points) Tatu za bwerere mnazozitaka Kikanuni kulipaswa Kwanza kuwe na tukio gani Kikanuni?

2. Aliyesababisha Mchezo kutochezwa ni Klabu ya Simba au ni Bodi ya Ligi chini ya TFF?

3. Ni lini Yanga SC imewahi kuwa na Kesi popote pale (ndani TFF na nje CAF au FIFA) na ilishinda / ikashinda?

4. Bodi yoyote ile ya Ligi huwa inavunjwa katikati ya Msimu wa Ligi au Ligi ikiwa bado inaendelea?

5. Baada ya Mechi kuahirishwa na Bodi (TFF) nani aliwaambia Mechi imetangazwa kurudiwa Bunju mlikoenda?

6. Kama Bodi ya Ligi Kuu isipovunjwa na mkapangiwa Michezo yenu mtaacha kucheza au mtaendelea kucheza?

7. Kama Bodi ya Ligi (TPLB) ni Mali na sehemu ya TFF kwanini hamkuwalaumu TFF hasa Rais Karia na mmewalaumu tu Watu wawilia ambao ni mwana Yanga SC kindakindaki Mzee Steven Mguto na mwana Yanga SC lia lia mwenzenu Almasi Kasongo?

Wana Simba SC mlioko hapa JamiiForums tafadhali tutulieni tusome majibu ya hawa walioshindikana Oky?
Ili waweze kutoa majibu sahihi inabidi kwanza ule mwiko kule nyuma utolewe au ushindiliwe uzame kabisaaa ndiyo akili zitawakaa sawa kinyume cha hapo wataishia kukuporomoshea matusi tu
 
Yanga alama tatu Hawezi pata Sababu Bodi ya Ligi iliahirisha mchezo kihuni ingawa lolote linawezekana ....Hii game Simba walishajipanga wasicheze Ndio maana hata msemaji wao siku ya press alikuwa kama Kuku mwenye mdonde kanywea anasingizia Mfungo wakati si kawaida Yake kupoa

Kilichofanyika ni uhuni na sio mara ya Kwanza tunaona Bodi ya Ligi inaegemea upande WA Simba
• Review mech ya Simba na Yanga 2021..Bodi ya Ligi inabadilisha MDA WA mchezo kirahisi rahisi wakati kanuni zinasema masaa 24 kabla Ndio watoe taarifa kwanini wao walitoa taarifa siku ya mechi ilhali kulikuwa hakuna Sababu ya msingi kufanya hivo.
•Review mech ya Simba na Kagera sugar,Simba wanasema wachezaji wao sijui 13 Wana mafua hivo hawawezi cheza mech taarifa imetoka masaa mawili kabla ya mech kuwa mechi imeaihirishwa.
•Review mech ya Yanga na Simba 2025 tenah ,Simba kakosa mazoezi anasusa kuwa hatocheza na Bodi ya Ligi ikiwa na Sababu za Msingi kabisa zakuwaadhibu Simba inaahirisha mechi.Mbona Simba aliweza kumvimbia Pamba wakati alipokuwa ananyimwa haki ya msingi ya kufanya mazoezi sasa analeta hoja et mabaunsa watatu wawasumbue mabasi Timu nzima?,pia wiki nzima alikuwa anajiandaa kwa ajili ya nn?

Mwisho,Simba iache janja janja hawana kikosi kwl cha kuisumbua Yanga DK 90 ,ila kwenye mpira lolote linaweza tokea kukimbia huku mech kisa Wana majeruhi wawili watatu ni ushamba na uhuni...
 
1. Ili mpewe Alama (Points) Tatu za bwerere mnazozitaka Kikanuni kulipaswa Kwanza kuwe na tukio gani Kikanuni?

2. Aliyesababisha Mchezo kutochezwa ni Klabu ya Simba au ni Bodi ya Ligi chini ya TFF?

3. Ni lini Yanga SC imewahi kuwa na Kesi popote pale (ndani TFF na nje CAF au FIFA) na ilishinda / ikashinda?

4. Bodi yoyote ile ya Ligi huwa inavunjwa katikati ya Msimu wa Ligi au Ligi ikiwa bado inaendelea?

5. Baada ya Mechi kuahirishwa na Bodi (TFF) nani aliwaambia Mechi imetangazwa kurudiwa Bunju mlikoenda?

6. Kama Bodi ya Ligi Kuu isipovunjwa na mkapangiwa Michezo yenu mtaacha kucheza au mtaendelea kucheza?

7. Kama Bodi ya Ligi (TPLB) ni Mali na sehemu ya TFF kwanini hamkuwalaumu TFF hasa Rais Karia na mmewalaumu tu Watu wawilia ambao ni mwana Yanga SC kindakindaki Mzee Steven Mguto na mwana Yanga SC lia lia mwenzenu Almasi Kasongo?

Wana Simba SC mlioko hapa JamiiForums tafadhali tutulieni tusome majibu ya hawa walioshindikana Oky?
Kiongozi hao viumbe watakumalizia bando lako na chaji buure.

Manara alishamaliza,maana anawajua vizuuri sana ndio maana walimsajili pia maana waliona amewaambia ukweli.Hivyo waliwahi asitoe siri zao zingine.
 
1. Ili mpewe Alama (Points) Tatu za bwerere mnazozitaka Kikanuni kulipaswa Kwanza kuwe na tukio gani Kikanuni?

2. Aliyesababisha Mchezo kutochezwa ni Klabu ya Simba au ni Bodi ya Ligi chini ya TFF?

3. Ni lini Yanga SC imewahi kuwa na Kesi popote pale (ndani TFF na nje CAF au FIFA) na ilishinda / ikashinda?

4. Bodi yoyote ile ya Ligi huwa inavunjwa katikati ya Msimu wa Ligi au Ligi ikiwa bado inaendelea?

5. Baada ya Mechi kuahirishwa na Bodi (TFF) nani aliwaambia Mechi imetangazwa kurudiwa Bunju mlikoenda?

6. Kama Bodi ya Ligi Kuu isipovunjwa na mkapangiwa Michezo yenu mtaacha kucheza au mtaendelea kucheza?

7. Kama Bodi ya Ligi (TPLB) ni Mali na sehemu ya TFF kwanini hamkuwalaumu TFF hasa Rais Karia na mmewalaumu tu Watu wawilia ambao ni mwana Yanga SC kindakindaki Mzee Steven Mguto na mwana Yanga SC lia lia mwenzenu Almasi Kasongo?

Wana Simba SC mlioko hapa JamiiForums tafadhali tutulieni tusome majibu ya hawa walioshindikana Oky?
Haya maswali waulizwe Mzee Kikwete na Mzee Sunday Manara ndio watu pekee wanaoweza kukujibu.
 
Back
Top Bottom