Wana Yanga SC muanze Kujiandaa 'Kisaikolojia' kwani huenda 'Viongozi' wenu baadhi wakayaanza Maisha mapya Jela Segerea

Sasa hao TFF na polisi hawana weledi kabisa ...kwanini Kama ni kweli habari hizi zivuje?

Mbona na Wewe 'Unavuja' Sisi tunajua japo huwa unafanya ni Siri?
 
Nadhani unanitukana ..unataka nikuripoti?! ' navuja' maana yake Nini?

Kwani 'Tarakimu' hii ya ID yako 1954 inaonyesha 'Jinsia' yako? Halafu mbona unakuwa na 'Hasira' sana Mkuu au Bahari ya Sham ( K ) inatiririsha?
 
Kwani 'Tarakimu' hii ya ID yako 1954 inaonyesha 'Jinsia' yako? Halafu mbona unakuwa na 'Hasira' sana Mkuu au Bahari ya Sham ( K ) inatiririsha?
Ok nadhani wewe utanizoea sana
 
Exactly ndicho tulicho kifanya subilini tumuonyeshe kazi hii ndio yanga bwana
 
Mipovu ya misimu mingapi vle PATUPU
 
Kwa kauli ya yule eng. Wa gsm ni wazi Morison hakusaini yanga kwani amesema kama Simba watamtambulisha Morison ni wazi watakuwa wao ndio waliwahujumu mimi nilitegemea angesema kama Simba wakimtambulisha Morison wakati wana mkataba naye wangewachukulia Simba hatua za kisheria
 
Watu waligushi sahihi yake lakini cha ajabu akaenda kwa Engineer ili wavunje mkataba. Strange indeed!
Atakuja shangaa watu wali record kila kitu. Aje aikane clip ya mazungumzo yake kutaka wavunje mkataba. Badala ya mpira, atashinda kortini kutoa ushahidi.
 
Hilo lipo TFF tusubiri Jumatatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…