Wana Yanga SC tukutane hapa ili tuanze Kutengeneza na Kubuni mapema sababu ya Kipigo tutakachokipata leo huko Botswana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mimi nikiwa kama mwana Yanga SC tena damu damu na lia lia kabisa An Eagle naanza kwa kusema kuwa naona sababu Kubwa ambayo itatupelekea leo tupate Kipigo Kitakatifu huko nchini Botswana kutoka kwa wanaojua Township Rollers ni kwamba Wachezaji wetu hawali vizuri kama wa Simba SC na pia Wachezaji wetu hawapewi Posho Kubwa kama wale wa Simba SC lakini pia Wachezaji wetu wa Yanga SC hawajakodiwa Ndege Maalum na Uongozi wetu kama walivyofanyiwa Wachezaji wa Wapinzani wetu Simba SC.

Nashauri wana Yanga SC wenzangu Mimi An Eagle nikiwa kama Mwanachama mwenye Kadi Namba 1299999917939 naomba tuanze Mchakato Maalum wa kuwaondoa Viongozi wetu Msola na Mwakalebela kwani ni Wasaliti na hawatotusaidia na kama tutaweza basi Sisi Yanga SC tusione Aibu kwenda kwa Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji ili aweze Kutusaidia na Sisi ili yale mema anayowafanyia Simba SC atufanyie na Sisi pia.

Mimi sababu zangu za awali kabisa kwa Kipigo ambacho tutakipata leo ni hizo hapo juu ila na Wewe mwana Yanga SC Mwenzangu uliyepo hapa JamiiForums karibu uweke na zako pia ili kusudi tuweze Kuwasaidia Waandishi wa Habari hasa katika Vichwa vyao vya Habari vya Kesho na wale wa katika Redio na Runinga nao waweze kuwa wanazisema.

Yanga SC yetu daima na mbele kwa mbele tu.
 
Team haikua na muunganiko mzuri

Kwahiyo ile Kambi yetu ya kule Morogoro hadi tukawa tunazifunga Timu ngumu za Madereva wa Malori pale Bigwa, Wapiga Debe wa Msamvu na wale Chipukizi wa Kuokotwa pale Shuleni Morogoro kwa Magoli 10 hadi 12 kulikuwa hakuna huo Muunganiko Kiongozi wangu? Na ili Timu iweze Kuunganika vizuri inatakiwa iwe imefanya nini Kwanza? Na je hii sababu ya Timu haina Muunganiko ipo kwa Mechi ambazo Yanga SC yetu inafungwa tu na kutoka Sare au hadi katika zile Mechi zetu ambazo tumeshinda hapa katikati ikiwemo hii ya mwisho ya Kirafiki dhidi ya wale AFC Leopards pale Arusha ambapo pia nimedokezwa kuwa kabla ya Mechi ile Viongozi wetu wa Yanga SC waliwaomba Jamaa wasichekeza kwa Kukaza ( Kukamia ) na wakiweza watuachie ili tushinde na turudishe Imani kwa Wapenzi na Mashabiki wetu?
 
head coach alichelewa kujiunga na team

Nini maana ya Timu kuwa na Kocha Msaidizi? Kwahiyo Kocha angekuwa anaumwa Kocha Msaidizi asingeiongoza vyema Timu yetu pendwa ya Yanga SC Kiongozi?
 
Referee ameihujum yanga

Na mechi yako ya Tanzania hao Marefa walituhujumu Yanga hadi tukaipata ile Sare ya Magoli ambayo Kimahesabu ni Hatari sana Kwetu hasa katika Mchezo wetu wa marudiano huu wa leo?
 
Mimi nikiwa kama mwana Yanga SC tena damu damu na lia lia kabisa An Eagle naanza kwa kusema kuwa naona sababu Kubwa ambayo itatupelekea leo tupate Kipigo Kitakatifu huko nchini Botswana kutoka kwa wanaojua Township Rollers ni kwamba Wachezaji wetu hawali vizuri kama wa Simba SC na pia Wachezaji wetu hawapewi Posho Kubwa kama wale wa Simba SC lakini pia Wachezaji wetu wa Yanga SC hawajakodiwa Ndege Maalum na Uongozi wetu kama walivyofanyiwa Wachezaji wa Wapinzani wetu Simba SC.

Nashauri wana Yanga SC wenzangu Mimi An Eagle nikiwa kama Mwanachama mwenye Kadi Namba 1299999917939 naomba tuanze Mchakato Maalum wa kuwaondoa Viongozi wetu Msola na Mwakalebela kwani ni Wasaliti na hawatotusaidia na kama tutaweza basi Sisi Yanga SC tusione Aibu kwenda kwa Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji ili aweze Kutusaidia na Sisi ili yale mema anayowafanyia Simba SC atufanyie na Sisi pia.

Mimi sababu zangu za awali kabisa kwa Kipigo ambacho tutakipata leo ni hizo hapo juu ila na Wewe mwana Yanga SC Mwenzangu uliyepo hapa JamiiForums karibu uweke na zako pia ili kusudi tuweze Kuwasaidia Waandishi wa Habari hasa katika Vichwa vyao vya Habari vya Kesho na wale wa katika Redio na Runinga nao waweze kuwa wanazisema.

Yanga SC yetu daima na mbele kwa mbele tu.

Wewe ni simba damu na siyo yanga damu...hakuna kadi yenye namba hizo yanga...Ila umetufummbua macho baadhi yetu...hivi kitengo cha habari Yanga hakipo?? maana simba wanaingilia sana habari za Yanga...hata mecchi yenyewe sijui ni saa ngapi...
 
Tumecheza vizuri sema mpira nimatokeo 3

Sasa kama ulijua kuwa mpira una Matokeo hayo matatu kwani Viongozi wetu wanatumia Pesa za Klabu vibaya kwa Kuwahonga Waandishi wa Habari wa Magazeti ya Michezo ( hasa Wahariri wao ) wawe kila Siku wanaandika tu Vichwa vya Habari vya Kuipamba na Kuikuza Yanga SC yetu wakati ukweli ni kwamba Timu yetu kwa sasa haina hizo Sifa ambazo inapewa na hayo Magazeti hasa ya Mwanaspoti, Bingwa / Dimba na Championi?
 
Kwahiyo ile Kambi yetu ya kule Morogoro hadi tukawa tunazifunga Timu ngumu za Madereva wa Malori pale Bigwa, Wapiga Debe wa Msamvu na wale Chipukizi wa Kuokotwa pale Shuleni Morogoro kwa Magoli 10 hadi 12 kulikuwa hakuna huo Muunganiko Kiongozi wangu? Na ili Timu iweze Kuunganika vizuri inatakiwa iwe imefanya nini Kwanza? Na je hii sababu ya Timu haina Muunganiko ipo kwa Mechi ambazo Yanga SC yetu inafungwa tu na kutoka Sare au hadi katika zile Mechi zetu ambazo tumeshinda hapa katikati ikiwemo hii ya mwisho ya Kirafiki dhidi ya wale AFC Leopards pale Arusha ambapo pia nimedokezwa kuwa kabla ya Mechi ile Viongozi wetu wa Yanga SC waliwaomba Jamaa wasichekeza kwa Kukaza ( Kukamia ) na wakiweza watuachie ili tushinde na turudishe Imani kwa Wapenzi na Mashabiki wetu?
Swala la muunganiko kwa sisi yangu nimechi tulizo fungwa bc
 
Wewe Sio Yanga na hujawahi kuwa Yanga, nani asiyejua wewe ni Simba kindaki kindaki.

Mpaka nimeweka hapo na Ushahidi kabisa wa hiyo Kadi yangu ya Uanachama wa Yanga SC unataka nithibitishe vipi tena? Labda ni Wewe tu ndiyo uko hapa JamiiForums na hujui kuwa An Eagle Mimi ni mwana Yanga SC lia lia Kiongozi. Tena ukitaka tugombane nitajie kuhusu Timu inayojua Mpira na Bingwa Tanzania na Timu pekee ya nchini Tanzania iliyofika Robo Fainali CAF ya Simba SC kwani siipendi na sitokuja Kuipenda kama ambavyo naipenda Yanga SC yangu tena hii ya sasa ya Kocha asiyejua Kuvaa Nguo ( Chokoraa ) na Yule Mshambuliaji wetu mzuri mwenye Hips na Matako ( Makalio ) makubwa na Baunsa pia Baby Molinga.
 
Wewe ni simba damu na siyo yanga damu...hakuna kadi yenye namba hizo yanga...Ila umetufummbua macho baadhi yetu...hivi kitengo cha habari Yanga hakipo?? maana simba wanaingilia sana habari za Yanga...hata mecchi yenyewe sijui ni saa ngapi...

Tena yawezekana Mimi ndiyo nikawa mwana Yanga SC mzuri, mtiifu na mkubwa hata kuliko Wewe. Hiyo Kadi ipo na kama unabisha mtafute Msolla au Mwakalebela watakuthibitishia kwani wao ndiyo walionikabidhi.
 
Kwahiyo ile Kambi yetu ya kule Morogoro hadi tukawa tunazifunga Timu ngumu za Madereva wa Malori pale Bigwa, Wapiga Debe wa Msamvu na wale Chipukizi wa Kuokotwa pale Shuleni Morogoro kwa Magoli 10 hadi 12 kulikuwa hakuna huo Muunganiko Kiongozi wangu? Na ili Timu iweze Kuunganika vizuri inatakiwa iwe imefanya nini Kwanza? Na je hii sababu ya Timu haina Muunganiko ipo kwa Mechi ambazo Yanga SC yetu inafungwa tu na kutoka Sare au hadi katika zile Mechi zetu ambazo tumeshinda hapa katikati ikiwemo hii ya mwisho ya Kirafiki dhidi ya wale AFC Leopards pale Arusha ambapo pia nimedokezwa kuwa kabla ya Mechi ile Viongozi wetu wa Yanga SC waliwaomba Jamaa wasichekeza kwa Kukaza ( Kukamia ) na wakiweza watuachie ili tushinde na turudishe Imani kwa Wapenzi na Mashabiki wetu?
 
Tena yawezekana Mimi ndiyo nikawa mwana Yanga SC mzuri, mtiifu na mkubwa hata kuliko Wewe. Hiyo Kadi ipo na kama unabisha mtafute Msolla au Mwakalebela watakuthibitishia kwani wao ndiyo walionikabidhi.

Dah...Yaani wewe ulikabidhiwa kadi na watu wawili, Msolla na Mwakalebela...you are just wasting our time...mimi naifahamu sana Yanga kuliko unavyodhani...naifahammu.in and out...Mwanayanga hana tabia kama yako...
 
Sasa kama ulijua kuwa mpira una Matokeo hayo matatu kwani Viongozi wetu wanatumia Pesa za Klabu vibaya kwa Kuwahonga Waandishi wa Habari wa Magazeti ya Michezo ( hasa Wahariri wao ) wawe kila Siku wanaandika tu Vichwa vya Habari vya Kuipamba na Kuikuza Yanga SC yetu wakati ukweli ni kwamba Timu yetu kwa sasa haina hizo Sifa ambazo inapewa na hayo Magazeti hasa ya Mwanaspoti, Bingwa / Dimba na Championi?

Ndugu yangu nadhani hufahamu nini kinaendelea ndani ya magazeti, na hii ni kwa sababu wewe siyo mwanahabari na wala hujawahi kuwa mwanahabari..Aidha nadhani wewe ni mshabiki wa soka wa kizazi kipya yaani kuanzia miaka ya 2000...sasa nakwambia hivi. Yanga haina fedha za kuwahonga waandishi wa habari..Hata Smba haina fedha hizo...Suala hapa ni biashara...It is business...Bila kuandika habari nzuri za Yanga magazeti hayauziki...Hata Simba pia ni hivyo...Kwa miaka mingi Yanga ndiyo imekuwa ikiiuza'' magazeti...habari mbaya za Yanga zinafanya magazeti yadode yaani yasiuzike...Kwa hiyo habari nyingi kuhusu Yanga ni za uzushi uzushi na kufagilia...It is sensational journalism...Waulize waandishi wa habari watakwambia...Ndiyo maana magazeti karibu yote ya michezo utayakuta yakiwa na maandishi makubwa yenye rangi za njano, kijani na nyekundu za timu hizi mbili ili kuvutia wasomaji...bila hivyo magazeti yatakufa...hata kukiwa hakuna habari siku hiyo za Yanga au Simba waandishi wa habari watazitafuta .kwa nguvu na kuzipamba..............kati ya Simba na Yanga timu inayouza sana gazeti ni Yanga sijui kwanini na hii ni tangu miaka .ya 80..lakini inawezekana pengine sababu ni kwa kuwa Yanga ndiyo yenye wanachama . na wapenzi wengi nchini...usipime wingi wa mashabiki wa timu hizi mbili kwa mashabiki kujaza uwanja wa taifa...hicho siyo kipimo...Kama ikitokea siku moja Yanga wakasusia kununua magazeti (jambo ambalo haiwezekani) hakuna gazeti la michezo ambalo litasalimika....Lakini katika hoja hii pengine nikwambie kuwa waandishi wa habari za michezo ni chanzo kimojawapo kikubwa cha kudumaa kwa soka nchini...Habari nyingi za michzo ni za uzushi, kupamba, sifa za uongo, mzaha, mipasho mipasho na zinazokosa uchambuzi wa kina...Wasomaji wanaaminishwa kuwa timu zao (za Simba na Yanga) ni nzuri wakati siyo kweli..Kwa mfano Simba, Azam na Yanga weekend hii zina mechi muhimu za kimataifa lakini hakuna gazeti lililokuja na uchambuzi wa kina kuhusu nguvu za wapinzani na udhaifu wa timu zetu...tunachokiona kwenye magazeti ni majisifu yasiyo na tija hata kidogo...
 
Back
Top Bottom