GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mimi nikiwa kama mwana Yanga SC tena damu damu na lia lia kabisa An Eagle naanza kwa kusema kuwa naona sababu Kubwa ambayo itatupelekea leo tupate Kipigo Kitakatifu huko nchini Botswana kutoka kwa wanaojua Township Rollers ni kwamba Wachezaji wetu hawali vizuri kama wa Simba SC na pia Wachezaji wetu hawapewi Posho Kubwa kama wale wa Simba SC lakini pia Wachezaji wetu wa Yanga SC hawajakodiwa Ndege Maalum na Uongozi wetu kama walivyofanyiwa Wachezaji wa Wapinzani wetu Simba SC.
Nashauri wana Yanga SC wenzangu Mimi An Eagle nikiwa kama Mwanachama mwenye Kadi Namba 1299999917939 naomba tuanze Mchakato Maalum wa kuwaondoa Viongozi wetu Msola na Mwakalebela kwani ni Wasaliti na hawatotusaidia na kama tutaweza basi Sisi Yanga SC tusione Aibu kwenda kwa Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji ili aweze Kutusaidia na Sisi ili yale mema anayowafanyia Simba SC atufanyie na Sisi pia.
Mimi sababu zangu za awali kabisa kwa Kipigo ambacho tutakipata leo ni hizo hapo juu ila na Wewe mwana Yanga SC Mwenzangu uliyepo hapa JamiiForums karibu uweke na zako pia ili kusudi tuweze Kuwasaidia Waandishi wa Habari hasa katika Vichwa vyao vya Habari vya Kesho na wale wa katika Redio na Runinga nao waweze kuwa wanazisema.
Yanga SC yetu daima na mbele kwa mbele tu.