Wana Yanga SC tukutane hapa ili tuanze Kutengeneza na Kubuni mapema sababu ya Kipigo tutakachokipata leo huko Botswana

Ukweli utakuweka huru.... Ni wana Yanga wenye uthubutu kama wako...

Taifa linaenda kupata aibu nyingine huko Zimbabwe
 
MUNGU
ibariki yanga
MUNGU
ibariki Tanzania
Zamu ya mchezaji kuonyesha uwezo wake
Timu ishinde
 
Kuna mhariri mmoja aliulizwa kwanini front pages nyingi inaandikwa sana yanga alijibu mashabiki wa yanga ndio wanunuaji wa magazeti kuliko wa simba
 
Simba wamewahonga Township rollers ili watufunge.

Yanga nyuma mbele daima mwiko
 
Ukweli utakuweka huru.... Ni wana Yanga wenye uthubutu kama wako...

Taifa linaenda kupata aibu nyingine huko Zimbabwe
Nilitaka nikutukane tusi moja baya sana ila nikakumbuka nimetoka kupigwa ban wiki moja iliyopita. Hv kama mpira ujui sibora ukae kimya? Zimbabwe imeingiaje hapo kwa mfano? Na ngoja niwaambie wana simba mmejitaidi kutusurubu mitandaoni ila mungu yupo nasisi mark my words yanga itapita kule Botswama alafu nyie kesho mnakufa taifa labda sio mm.
 
Sababu iwe TPL kupata mdhamini kumeishtua timu kwa furaha,mpaka wakajishau wakapigwa 4
 
Kuna mhariri mmoja aliulizwa kwanini front pages nyingi inaandikwa sana yanga alijibu mashabiki wa yanga ndio wanunuaji wa magazeti kuliko wa simba
Inawezekana, wanayanga wananunua sana magazeti kwa sababu wanasimba wanapata real information Kwenye vyanzo halisi vya simba, tofauti na Yanga wanaosubiri hadi wadanganywe na magazeti.
Sasa ka Mimi mwanasimba napata habri zote za simba Kwenye social network za simba, nitaanzaje kununua old information Kwenye magazeti
 
Hivi match saa ngapi wakuu?
 
...Habari nyingi za michezo ni za uzushi, kupamba, sifa za uongo, mzaha, mipasho mipasho na zinazokosa uchambuzi wa kina...
Kweli kabisa 👍👍
 
Na ngoja niwaambie wana simba mmejitaidi kutusurubu mitandaoni ila mungu yupo nasisi mark my words yanga itapita kule Botswama alafu nyie kesho mnakufa taifa labda sio mm
Mkuu tusiombeane Dua mbaya ! Vilabu vyote vinawakilisha nchi kwenye hii michuano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…