Wana Yanga SC tukutane hapa ili tuanze Kutengeneza na Kubuni mapema sababu ya Kipigo tutakachokipata leo huko Botswana

Tutashinda leo. Yanga mbele kwa mbele,nyuma mwiko
 
Uzi mwingine mwana Simba. https://www.jamiiforums.com/threads...atia-kikamilifu-kabisa.1620077/#post-32596133

Kwenye siasa, wapo wana siasa malaya. Kwenye mpira, wanaanza kutokea.

Iache Yanga, shughulika na mikia wenzio.
 
Nimeelezwa Yanga wanaongoza kwa goli moja lilofungwa dakika ya 43
 
Azam wanakaribia kupenya, 3-1, 90' 3+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…